Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya miezi mitatu.

Doto James arejeshwe
 
Baada ya Paul Makonda kutumia nguvu Kubwa sana ya Kujipromoti Mitandaoni tena kwa kuwatumia Watu wake anaowalipa na kuona katika Teuzi zote za Mheshimiwa Rais Samia hayumo, sasa kaamua kubadili Strategy na kuanza Kujipendekeza ili akumbukwe katika Teuzi za mbeleni.
 
Fisiemu bhana!!! Mchana inzi usiku umbu!!! Kwani wakati huo mchakato ukiwa hatua za awali hawakuyajua hayo?
 
Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
Hii inamaanisha alikuwa na ubinafsi, ulafi na choyo... mtu unajiuliza ilikuwaje kiwanja cha ndege cha Mugumu - Serengeti kikaachwa mahala ambapo pangezalisha fedha nyingi za kigeni toka kwa watalii wanaozuru Serengeti badala yake kikajengwa mahali ambako mbuga inafufuliwa!!!
Ila ndio akili zetu za kitanzania HATUNA MIKAKATI WALA VIPAUMBELE...!!!
 
Eti tena chato umekubalika kua mkoa wenye wilaya 5 ambazo ni Chato,Bukombe, Kakonko, Biharamulo na Ngara.
Hivyo Geita itabaki na wilaya 4ambazo ni Geita, Nyang'hwale, Mbogwe na Sengerema
 
Ushuzi na upupu wa mtu pori hakika ulikua hauvumiliki kwa raia yeyote mwenye akili timamu

Halafu nyie CCM muwage mnawapima akili wagombea wenu kabla ya kuwapa ridhaa ya kugombea
2015 mlituletea garasa lililokuja kutoa boko na kututia hasara Kama taifa!

Rest in hell jiwe you are sleeping quietly at Chattle mabatini!


Imeisha hiyo!
 
Chunya ina jumla ya wakazi wangapi ?
 
Ndio maana Sengerema ilitokea Wilaya ya Geita ilipoundwa mwaka 1975
Basi mi nilijua watachota wilaya moja a mbili geita kisha sengerema wataivutia geita na wataongeza wilaya ya kisesa ili ifidie kwenye pengo la sengerema
 
Tabora ebeo kubwa ni mapori tu
Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
 
Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
Sasa wewe ni mtu wa ajabu kwelikweli.

Unataka usikie akisema, lakini huamini vitendo anavyofanya kutimiza lengo hilo hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…