Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Ningeehangaa sana endapo wangekubali kwa sasa ambapo Jiwe ni kiongozi wa Malaika huko upande wa pili.

Mama Samia aliposema wataangalia kama vigezo vitakidhi, hilo lilikuwa ni jibu la kukataa kiaina.
 
Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
Unadhani Chato ilijengeka yenyewe bila maelekezo?
 
Watanzania tuna mengi sana ya kujifunza kwa hii miaka 5 ambayo Mwendazake alituburuza. Sasa naamini tukikaa kuandika katiba ya wananchi tutaandika kitu kizuri sana. Haya madudu aliyofanya MAGUFULI kwa kutumia UDIKTETA lazimwa yazibwe. Angalia kila wizara ilikuwa inajikomba kufanya kitu Chato ili tu DIKTETA azidi kumuona kuwa yeye ni mchapa kazi. Watu wa Misitu wakaanzisha msitu unaitwa Dos Santos Silayo, Dr Ndumbaro akaanzisha Zoo ya Chato Burigi, National Housing wakaanzisha upimaji wa viwanja, CRDB wakaanzisha branch, Ujenzi wakajenga International Airport na Wizara ya Afya wakajenga Referal Hospital.

Yaani kwa ujinga huu bado watu wanamuita shujaa??? wengine wanamuita Mzalendo?? kwa jweli huyu ilikuwa lazima afe tu ili kuinusuru Tanzania
 
hospitali ya rufaa chato, Veta chato, uwanja wa ndege wa kimataifa chato, crdb chato, taa za kuongozea mikokoteni chati, ikulu chato vyote hivi sasa havina kazi
Nafikiria ile ikulu aliyoijenga kule Chato,kwasasa sijui anakaa nani,
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…