Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Itakuwa imepitia Kwa Zungu
 
Na Ile ya Zungu kuwa wanatoa 1m Kwa marefa imeishia wapi? Au wazee wa Yanga walimshtua sana kuona ataabishwa
Naweza nikasema hilo ni la ukweli kwa kurejea refa aliyechezesha mechi kati ya Namungo na Yanga akiwazawadia ile penati ili ku balance shobo
 
Eric Yema wa Geita amepata majeraha kiasi cha kupakiwa kwenye ambulance kuelekea hospitali...ugua pole mwamba
 
Free kick wanapata Geita eneo hatari la kutia goli kwny lango la Yanga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kama kawaida nimewaambia
 
Mpole ndio man of the match kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…