immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
watu wasijua ni kwamba maandamano ya amani yawezi iondoe serikali ovu madarakani ndio kitu watu hawajui.Mpaka Leo hujui wanahitaji Nini? Au umekuwa brainwashed na propaganda za kijinga kutoka kwa akina wassira
Acha utani mkuu, wanakiamsha hadi muda huu?Naona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
peleke ujinga wako huko **** mnuko weweHuna akili
Sawa mama.peleke ujinga wako huko **** mnuko wewe
hakuna kurudi nyumaTunakumbushana tu.
Wale mama na wakuu wake wa ulinzi washanusa harufu ya damu na wameshachanganyikiwa muwe makini
Na net ikiwemo inaweza ikafanya watu wakae ndani washuhudie kinachoendelea badala ya kutoka nje.Wawe na mbinu mbadala ya kukabilina na internet blackout siku hiyo
Waliozima hiyo juzi wanatakiwa kushtakiwa icc kwa kuwa sababu ya kupelekea raia wasio na habari sahihi kuuwawa bila kufahamu uwepo wa hatari yeyote.Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Mpaka leo?Naona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
na wao tarehe 9 watauwawa bila habari yoyoteWaliozima hiyo juzi wanatakiwa kushtakiwa icc kwa kuwa sababu ya kupelekea raia wasio na habari sahihi kuuwawa bila kufahamu uwepo wa hatari yeyote.
💯 % tusitoe sababuTusitoe kisingizio kwa Serikali kupambana na waandamanaji.
aiba ya wanyakyusa wa kyela ipo hivyo…ni ngumu kuwatuliza labda wawamalize tuNaona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
Hoja nzuri. Natofautiana nawe pale tu unapobagua nani aje kwenye maandamano. Hayo ni kwa maslahi ya kila mwananchi. Hivyo, kila raia ajitokeze: wanaume kwa wanawake; vijana kwa wazee; n.k. Hicho ndicho kitaonyesha kwamba maandamano ni ya cni nzima kwa ujumla. La muhimu ni kwamba maandamano yawe ya amani. Hatuendi vitani kiasi kwamba vijana tu ndio wahusike.Habari zenu wakuu!!
Ukweli ni kwamba maandamano ya october 29 yameonyesha mwongozo kwamba watanzania tunaweza na sio waoga kama wengi wanavyodai .
Haya yajayo ya tarehe 9 december siku ya kumbukizi ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika tudhamilie kuyafanya yawe ni maandamano ambayo hayajawai tokeo kwa nchi yoyote ile dunia yakawe ni non stop mpaka CCM iachie nchi rasmi hakuna kurudi nyuma na wala tusitegemee jeshi letu hili la ulinzi .
Watanzania tutoke kwa wingi Gen z sana sana kwa wingi acha hawa wazee wa CCM baby boomers wabakie nyumbani na wajukuu.
Itabidi kuwadhibiti hao wahuni watakaoletwa ili kuja kuichoma Nchi yetu Tanzania 🇹🇿CCM na serekali yake hawatataka, watapandikikiza wahuni wa kuleta vuruguiwe ili wapate sababu za kuua katika jina la kuyazuia.
Lengo la maandamano lisiwe kuipindua serikali ila liwe la kushinikiza TUME HURU na KATIBA MPYA na UCHAGUZI URUDIWE.Hakuna maandamano ya amani ya kuutoa utawala madarakani tusidanganyane.
uchaguzi kurudiwa ndio kupindua serikali bandia iliyopoLengo la maandamano lisiwe kuipindua serikali ila liwe la kushinikiza TUME HURU na KATIBA MPYA na UCHAGUZI URUDIWE.
Una uwezo gani wa ku create employment ambazo sasa hivi huzioni? Au unadhani employment ni kuajiriwa TPA na BOT au TRA??Mkuu wala usijali kazi zitarudi tena kwa uhakika zaidi kuliko hivi sasa bila ya connection hupati hiyo kazi.
Kwenye kila mabadiliko changamoto hazikosekani.
People have to pay the price for the changes.
Tukifanikiwa kuiondosha CCM na viongozi wake waliojipigia kura wenyewe mambo mengi yatakaa sawa.
Yalibadili chochote??walisikilizwa??Ni vyema mkafanya kwa Amani na Kulinda Mali za Watanzania wenzenu, Chadema waliwahi kuandamana Miaka ya Karibuni kwa Amani bila kuiba wala kuharibu mali za Watanzania Wenzao. Mbinu ya kwanza ya kufanikiwa ni kulinda Mali ili wasipate sababu ya kuua watu. Mbinu ya pili ni Idadi. Kama watu wakiwa wengi kiasi cha kuasili mizunguko ya shughuli za kawaida mjini bila Vurugu. Lengo linaweza kutimia