PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Safari hii tutaingia kwenye mazishi wote. Familia za polisi zitakuwa kwenye mazishi na sisi kwenye mazishi. Ww andaa ushahidi tu wa kura 31m nani walizipiga.
 
Matusi
Yanatoka wapi?

Je shinikizo mnalotaka kufanya litafanikiwa au lita leta machozi mengine?

Mmejipangaje?
Tumejopanga kuwaumiza wanaotuumiza wote tupate hasara

Sasa watachagua kuendelea kutuua uku na wao wakipoteza Mali na biashara zao au waje mezani watupe Uhuru wa Habari,katiba na tume ya uchaguzi na ufisadi uchawa na utekaji na urawiti bikome
 
Hiyo nguvu haitumikagi kijinga unless kama inampango wa ku commit genocide
 
umesema uhusiano wa mwanamke na Shetani
Hapo naunga mkono maana hata SAMIA NI MWANAMKE! hivyo huhitaji D2
 
Reactions: naa
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Mimi niko Dar. Safari iliyopita niliandamana kuanzia Ubungo darajani Niliandamana kwa amani kabisa nikijua hakutakuwa na mauaji ya direct.
Nilinusurika.
Safari hii nna hasira ile mbaya, ntakuwa wa mwisho kuwakimbia hao wahuni maaskari.
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Utajengaje nchi wakati nchi inaibiwa?
 
Huna hoja. Kwa hiyo wakichukua muda mrefu hawatauwa? Au wakiuawa baada ya muda mrefu ndio inakuwa sawa?
 
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Hata yaliyopita mlisema hivyo hivyo. Hamuoni hata aibu?
 
Tumejopanga kuwaumiza wanaotuumiza wote tupate hasara

Sasa watachagua kuendelea kutuua uku na wao wakipoteza Mali na biashara zao au waje mezani watupe Uhuru wa Habari,katiba na tume ya uchaguzi na ufisadi uchawa na utekaji na urawiti bikome
Kukua na wewe uko hai vipi jamani “KEYBOARD WARRIOR”
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Akili zenu nahisi zipo makalioni. Kwa hiyo hapo mnashikilia miili ya watu, ndugu zao wakiandamana mnawalaumu wakina Sarungi.

Mtu wanae wawili wamekula shaba ndani ya nyumba, mtu kama huyo akiandamana utamlaumu nani?

Movement yoyote inahitaji kiongozi. Kiongozi anabeba maono anabeba matumaini ya anaowahamasisha. Usifikiri CCM ni wapumbavu wanapoelekeza nguvu zao kumsaka Mange na wanaharakati wengine.

Ukimuua Mange umeua matumaini ya vijana wa Manzese na Mbezi. Kama ambavyo analindwa Rais ndivyo tutavyohakikisha Lissu, Mange, Sarungi, Sativa na mpenda haki yoyote mwenye uthubutu wa kuongea analindwa.

Kama hawawezi kuupata usalama hapa basi wakautafute popote duniani na maelekezo ya nini kifanyike wakayatolee huko huko. YATAPOKELEWA.
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Tatizo mafisadi kaka, yana njaa kali kuliko panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…