PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Unadhani watu wanaandamana kwa sababu wameambiwa waandamane? Circumstances boss…na kama wakiandamana tena itakuwa ni more violence than before.
 
Unaongea kama unaitawala dunia. Huyo bibi yenu ICC inamsubiri
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Tulia wewe nywinywi; kwani Samia alikuwa wapi wakati watoto wetu wanauawa?
 
wakuu ni vpn gani nzuri kutumia kwenye PC
nb. iwe ya free na i boost na bando la kawaida
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Kutumia akili ni kifuga majizi na mafisadi huku raia wakikosa huduma muhimu acha upuuzi
 
Mimi ni kama Nabiii,sio lazima unione,ila najaribu kuonea huruma familia zenu zitakazowalilia vijana wajinga kama nyie mnaopambana na serikali.!


Kama wanaopigania haki katika nchi yao, haki iliyoporwa na mashetani, ni wajinga, basi wewe utakuwa ni shetani hayawani.
 
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.


Ninyi mashetani mnaua watu kwa fikra hizo kuwa tukiwaua wataogopa nyingine kugoka, lakini ukweli ni kuwa mnaongeza hadura, na safari ijayo watanzania watatoka maradufu ya tarehe 29. Watanzania kamwe hawataogopa kamwe, kwani kuogopa ni kunyosha mikono kwa shetani.
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Uoumbavu ni kujenga nchi zen anatokea fala huko kutoka zanzibar anawagawia ndgu zake nyarabu.
Huo unakuwa ni upumbavu wakiwango cha sgr.

Bora niharibu badaye nijenge kwa amani.

Ulaya ulipitia ujinga mwingi sana hadi imefikia hatua ya kuheshimiana. Sisi kwanini tushindwe
 
wakuu ni vpn gani nzuri kutumia kwenye PC
nb. iwe ya free na i boost na bando la kawaida
Proton Vpn(FREE KABISA), Providon VPN , Avast secure line unyama sana ...shida tu ni ya kulipia baada ya 30 days za free trial
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
baki ndani kuna usalama mkuu, shida nini
 
Wanazingua hao Kaka angalia hata huyo Maria na ujasiri wake wote hata Baba yake hajaja kumzika Tanzania anaogopa kujitoa sadaka ila watoto wa wenzao ndo wanataka waumie na kuuliwa
 
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Diaspora ndo wanaongoza kushadadia ujinga halafu wanaishia kupost humu JF tu wakati wenzao wanaumia
 
Huyu shekh majini nae kauwawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…