Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Mimi ninapoishi, na walinzi ninaojuana nao hakuna hata mmoja aliyeuliwa.Hivi walinzi wa mageti kwenye nyumba na ofisi hawakuuliwa?
Sijaona popote au mtu yeyote akihamasisha kuua waandamanaji.Aliyehamasisha kuua waandamani ni nani mkuu?
Tulishazungumza mara ngapi mkuu au hujawahi kumsikiliza Mange ,kiujumla serikali inayoongozwa na sa100 imeziba masikio na ukiongea tu uko ndani so hakuna solution nyingineBado sijajua kiongozi wa hay maandamano ni nani Hadi sasa!
Lakini namwambia hiyo sio njia sahihi Kwa watz kudai haki zao!!
Tuzungumze na samiah aliahidi katiba mpya kwenye kampeni,tumdai aitishe bungee la katiba!
NonesenseKwa kilicho tokea hakuna atakaye thubutu kutoka tena. Lengo lao ilikuwa kuwatia uoga wa hali ya juu na kwa asilimia kubwa wamefanikiwa.
I seeGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Yuko anaogelea kwenye mito ya pombe na bikra 72Huyu shekh majini nae kauwawa ?
kwani utakufa wewe?Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Huna uwezo huo wewe!! Mmewadanganya vijana nyumbu wengine wamekufa na wengine sasa wanaozea magerezani nyinyi bado mpo kama ma-keyboard worriers tu. Key worrier bado wapo tu humu kama kawaida yenu wala hamkutoka kukinukisha sasa mnanuka wenyewe.Naona neno la keyboard worriers limepotea ghafla humu mitandaoni. Maandamano ndio lugha inayoeleweka kirahisi. Sasa tutaandamana kwa amani kabisa. Atakayepora mali za watu tutamdhibiti wenyewe ili msipate kisingizio. Lakini madai ya katiba mpya lazima yafanyiwe kazi, na serekali ya mpito ni lazima. Hatuwezi kukubali kuongozwa na mtu aliyejitangaza kwa kura uongo.
Si utoke ukawatoe waliokamatwa?kawaambie watoto wako..shida yako nini km akili uliyo nayo inachojua ni tumbo lako..!
Wakileta mazoea kimbia, watu wa hovyo sanaSitaki urafiki au uhusiano na police yeyote, akiwa ndugu yangu itakuwa ni salamu tu tena pale tunapokutana physically kila mtu anapita kule.
Wanakuwaga wana power wakiwa wengi, akiwa mwenyewe hata ww unamtandika vizuriHivi hii misenge ina akili timamu kweli?
Kuna senge moja hapo pembeni linajifanya kufanya mazoezi Lina warm up kwa ajili ya kupiga mtuhumiwa aliyefungwa kamba.
Yani hawa dawa yao akijaa kwenye mfumo unamchakaza vibaya sana.
Hii mimba inayotungwa hapa! Ikikomaa na kuzaa.. Mungu tusaidieUnyama na matendo ya kikatili yaliyofanywa na Polisi hayazungumziwi kabisa. Cha ajabu, kila siku wapo bize kutoa matamko ya kusaka na kushughulikia watu.
Lakini, tukiwa wakweli, ninyi polisi dhalimu ni nani atawawajibisha kwa matendo yenu maovu? Mnajipa utukufu wa juu sana kuzidi hata malaika kwamba ninyi hamkosei, kila mnalofanya lipo sawa.
Mnasahau hata gadhabu ya wananchi ninyi ndiyo mmeichangia kwa kiasi kikubwa sababu mmekuwa wajivuni, dhalimu na waonevu kwa kipimo kisicho mithilika.
Mkishamaliza kuwasaka watu wa CHADEMA na Gen Z waliopambani nchi yao, hakikisheni mnatuambia ninyi mlio dhalimu, ni nani atawashughulikia kwa matendo yenu ya ovyo yasiyo na utu mliyofanya kwa watanzania?
Mfano halisi ni video hii ya tukio la Kituo cha Polisi Kisesa. Na kama sisi hatutawaadhibu, Mungu wa mbinguni atawapa mapigo ambayo vizazi vyenu vitauona utukufu wake.
View attachment 3498880
Yani hapo roho inauma kweli.Wanakuwaga wana power wakiwa wengi, akiwa mwenyewe hata ww unamtandika vizuri