Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 986
- 693
Gen-z wengi wamepita jeshi kwaio ukitokea upenyo wakapata silaha polisi wameisha
Tarehe 9 Disemba, tutasimama kwa mshikamano na ndugu zetu wa Tanzania na tutafunga mipaka yetu nchini Kenya kwa mshikamano na Tanzania - Bob NjagiView attachment 3501025
On December 9th, we are going to stand in solidarity with our brothers in Tanzania and we are going to shut our borders in Kenya in solidarity with Tanzania - Bob Njagi
π πΉπΏ #MD9 #D9 #MO29 #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #riseupTanzania
π#9th_December π
Freedom is coming to our lovely country-Tanganyika. Jamani tujitokeze kwa wingi sana sana siku hiyo ya 9th-DecemberView attachment 3501025
On December 9th, we are going to stand in solidarity with our brothers in Tanzania and we are going to shut our borders in Kenya in solidarity with Tanzania - Bob Njagi
π πΉπΏ #MD9 #D9 #MO29 #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #riseupTanzania
π#9th_December π
Naunga hoja qmmmmmmk kwa hasira sanaUsidanganyane wewe na nani?
Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.
Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.
Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.
Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.
Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.
Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.
Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
KabisaWatawala Wana viburi sijawahi ona...!!! wasipo pata busara na kurudi mezani Kuna hatari kubwa mbele.
SawaIkawe kheri kwenu
RPG na Scorpion gun zishafika, tunafatilia C4 plastic explosive,,kitawakaHalafu mitaani hizi habari zimeshika kasi. Hadi wazee wanaongelea hizi habari. Ile ya 29 ilikuwa inajulikana na kuongelewa mitandaoni tu, ila hii hadi watoto wanajua kuwa kuna jambo D9
Ivi ni serious au unatania mkuu ?RPG na Scorpion gun zishafika, tunafatilia C4 plastic explosive,,kitawaka