PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wakuu habari za huko !!.

Jambo nalopenda kuwahakikishia, Majina ya wote walouliwa yanaendelea kukusanywa, Kwa majina Yao Mmoja Mmoja na Kwa Familia !!

Wauaji walitumia Mbinu ya Kuteketeza Miili ili kuwaacha Watanzania njia panda yaan 'Hatujui kama Yuko Hai au Alikufa"


Niwaatangazie tu wote ambao bado mnahangaika kutafuta Ndugu zenu "KAMA NDUGU YAKO HAPATIKANI KWENYE SIMU ,KAUWAWA , ZIKENI NGUO, REKODINI VIDEO ,SAMBAZA MTANDAONI "... Hayupo na hatopatikana tena!!


Sasa MAANDAMANO haya ya DEC 9 yana mambo mawili

1- Twende na Wauaji kama watakavyokuja

2- Yawe na Amani yaan Kulinda Miundo mbinu ya NCHI ,zingatieni neno YA NCHI !!


Hayo Nimeona kupitia Jicho la Roho ambalo Mungu amenena Nami , Wauuaji na Watekaji wetu wanajihisi Muda bado wanao wa kudhibiti Kwan wanajiona DEC 9 ni mbali, ila niwaambie, kama ambavyo Tulionya Humu, kama ambavyo tulihimiza Uchaguzi uahirishwe, Kama ambavyo tulisema Reforms kwanza, Kama ambavyo tulisema Sitisheni Utekaji na Mauaji ya Watanganyika, Kama ambavyo TUulisema Fungueni Makanisa, Kama ambavyo tulisema Mwachieni Polepole, Kama ambavyo tulisema Acheni Kubagaza Kanisa Katoliki, Kama ambavyo tulisema KEKI ya Taifa iwanufaishe wote , LAKINI TUKADHARAULIWA NA KUPUUZWA NA MWISHO TANGAZI LIKATOKA 'HAKUTAKUA NA NYWIII NYWIII NYWIII WALA NYWAA NYWAAA ,WAKAJINASIBU ,HAKUTAKUA NA MAANDAMANO ....


TAREHE 9 DEC Hawataamini ukubwa wa Maandamano umetokea wapi.

Wanashauriwa Wafunge Mipaka na kuimarisha Ulinzi, ili wasije kusema ni WAKENYA !!.


DEC 9 ni maandamano makubwa ya AMANI yenye kudai , zingatieni neno Kudai !!.


RAI YANGU KWA WA UAJI:
Tarehe 9 Dec mna machaguzi mawili tu

-Kuwapa Wananchi wanachotaka.
_Kuwaua Wananchi ili Mwende ICC !!


ULE UJINGA JINGA WENU WA MARIDHIANO, KAENI WENYEWE WATEKAJI NA WAUAJI MRIDHIANE WENYEWE NA MACHAWA WENU .
 
Naona unapalilia biashara yako kwa Wazungu.
Wananchi wanaandamana DEC 9.



Mmeua SANA, mmeua Wachaga zaidi ya Buku mbili

Mnateka watu

Mnafunga Makanisa watu wasisali

Mnabagaza Kanisa Katoliki .

Mmmemuumiza Polepole

Mnamtafuta Gwajima ili Mumuue

LISSU mmempa Kesi ya UHAINI .



Miiili ya Mlowaua mmeiteketeza KUFICHA Ushahidi ( Sijui mnatumia matope ya aina gani).





Jiandaeni ,no way !! DEC 9 wanatoka Wananchi.
 
Watoke tu, uzuri picha ya mwanzo washaiona. Uko busy na mmebagaza kanisa katoliki. Tanzania ina kanisa katoliki peke yake, mbona makanisa yako mengi tu. Mbona kila kitu unazungumzia kanisa katoliki? Nasema tena watoke, tunajiandaa kuangalia picha zingine za maiti. Tena nawewe uwe mstari wambele. Tutakuzika kishujaa.
 
Wakenya wamejaa nchini wanafanya machafukoo.. Mama ni tunu ya taifa, lazima wazalendo tumlinde kwa nguvu kubwaa
 
Msingi wa Ukristo ni Katoliki , mmelidhalilisha Kanisa Kwa ukubwa sana, Kanisa msingi wake ni kuwaonya Wafalme .
Kwan umeambiwa Watanzania wanaogopa Kufa?.

Watanzania Wanataka HAKI ya matendo sio ngonjera zenu
 
Wakenya wamejaa nchini wanafanya machafukoo.. Mama ni tunu ya taifa, lazima wazalendo tumlinde kwa nguvu kubwaa
Maandamano ni DEC 9.

Mmeua SANA, mmeua Wachaga zaidi ya Buku mbili
Mnateka watu
Mnafunga Makanisa watu wasisali
Mnabagaza Kanisa Katoliki .
Mmmemuumiza Polepole
Mnamtafuta Gwajima ili Mumuue
LISSU mmempa Kesi ya UHAINI .

Miiili ya Mlowaua mmeiteketeza KUFICHA Ushahidi ( Sijui mnatumia matope ya aina gani).


Jiandaeni ,no way !! DEC 9 wanatoka Wananchi.
 
Ndiyo wewe uwe mstari wa mbele hiyo siku.
Msingi wa Ukristo ni Katoliki , mmelidhalilisha Kanisa Kwa ukubwa sana, Kanisa msingi wake ni kuwaonya Wafalme .
Kwan umeambiwa Watanzania wanaogopa Kufa?.

Watanzania Wanataka HAKI ya matendo sio ngonjera zenu
 
Msingi wa Ukristo ni Katoliki , mmelidhalilisha Kanisa Kwa ukubwa sana, Kanisa msingi wake ni kuwaonya Wafalme .
Kwan umeambiwa Watanzania wanaogopa Kufa?.

Watanzania Wanataka HAKI ya matendo sio ngonjera zenu
Hii siyo nchi ya kanisa, ni nchi ya Watanzania, wenye dini na wasio na dini, mambo ya kanisa kazi kuonya wafalme peleka Vatican, siyo Tanzania.
 
Halafu mitaani hizi habari zimeshika kasi. Hadi wazee wanaongelea hizi habari. Ile ya 29 ilikuwa inajulikana na kuongelewa mitandaoni tu, ila hii hadi watoto wanajua kuwa kuna jambo D9
...
Hii inajulikana mpaka na vibibi na vibabu sasa mpaka kwenye vipindi vya TV & Redio vinaongelea waziwazi bila uoga kwamba huu sio utani hawa watu hawatanii wakisema tunaandamana wanaandamana kweli
 

Kweli mmejipanga ila ujinga wakati wa kwenda Siyo kurudi, wakati unasuburi maiti za wenzio maiti yako inaweza kuwa ya kwanza!
 
Halafu mitaani hizi habari zimeshika kasi. Hadi wazee wanaongelea hizi habari. Ile ya 29 ilikuwa inajulikana na kuongelewa mitandaoni tu, ila hii hadi watoto wanajua kuwa kuna jambo D9
Sio kitu cha kushangaza attention ya sasa imetokana na yaliyo tokea MO29
 
Akili huna maandamano ya amani huku mtuliza maandamano ana bunduki yenye risasi za moto ifike mahali mtambue nchi haikombolewi kwa mabango hayo majitu yameiba hivyo Yako Radhi yaue Ili yabaki madarakani yatawamaliza na hakuna cha ICC yataenda kuchoma maiti zenu kama kawaida halafu yanaendelea na dharau zao kwamba hamna kilichotokea tumieni akili sio mnakufa kifala binafsi mpaka tarehe 29 nikikosa bunduki sitoki nalala ndani. Hamna haki utayoipata Kwa maandamano ya amani kubeba mabango mange ni mjinga sana mfano tumeuona kuanzia tarehe 29 lugha pekee atakayoielewa mtawala ni mtutu wa bunduki
 
Bunduki zimeshapatikana kama unaweza kuutumia vizuri utapewa
 
Wakenya wamejaa nchini wanafanya machafukoo.. Mama ni tunu ya taifa, lazima wazalendo tumlinde kwa nguvu kubwaa
Nina uhakika WEWE NI MIONGONI MWA WALIOUA WATANGANYIKA NA KUMWAGA DAMU ZAO KISA TSH 25M.Hizo fedha ulizopewa ili umwage damu nina kuhakikishia fedha hizo zitaishia kwenye matibabu Kansa /saratani yako na Mama yako Wala hazitakusaidia chochote
 
Kuanzia #D9 tutahakikisha nchi haitawiliki hii watu wanaojifanya viziwi watasikia waruke ruke walagalegale wajiteuwe hawato tawala.

Sisi hatuutambui uchaguzi wala wauwaji waliouwa ndugu zetu kabisa kabisa Tanzania haina raisi wala mbunge sasa utake usitake sisi hatuwatambui na hatupo chini ya uongozi wa yoyote na tutathibitisha hilo December 9 tutasimamisha nchi nzima hakuna shughuli hata ya nzi itakayofanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…