Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hakuna Jiwe litasalia juu ya Jiwe.Safari hii mtapewa ruhusa kuandamana, wa Dar mtapewa uwanja wa mkapa, mzunguke humo na mabango yenu.
Machawa wote hadi kina mwamposa nao watembelewe si ndio ndugu zanguAchana na bakwaka watasema ni wakristo ndo wamefanya vurugu
Pale mtanganyika mpumbavu anapo pambania raia wa nchi nyingine achume mali na familia yake ndani ya nchi yake .😄😄Utapigwa kipigo cha Mbwa Mwizi Mpaka unuke.
Alisema mwezi wa ngapiMimi huwa nakuzingatia tangia umesema Ndugai anaenda na Maji
Njoo inbox tuongee kuna issue😄😄Utapigwa kipigo cha Mbwa Mwizi Mpaka unuke.
We mzee..sahivi vijana hawachomi moto mali yoyote...hivyo mguu kwa mguu hadi watawala waeleweSafari hii mtapewa ruhusa kuandamana, wa Dar mtapewa uwanja wa mkapa, mzunguke humo na mabango yenu.
MOTHEFUCKER KARMA IS THE BITCH WHO CARES..LET THEM KILL U EVENPreviously I was they're puppet. Praise them, worship them regardless what wrong they're were doing. Abduction to me was like rumours. What now they are paying me. Killing my parent? Hehehe heew! I don't know
Kulinda mali gani watu walifatwa majumbani, na kupigwa risasi, hawa ndio mapolisi wa kulinda watu na mali?Hata hao nao pia watakuwa kama Hawa wa sasa polisi kazi yao kulinda Mali za watu zisiaribiwe inamaana hao mutakao waajiri wataacha muharibu Mali za watu kama mulivyo fanya siku zile wao watakuwa wanafurahia sasa hao polisi gani maana wakisema walinde Mali mutawaona makatili kama Hawa wa sasa
Hata hao nao pia watakuwa kama Hawa wa sasa polisi kazi yao kulinda Mali za watu zisiaribiwe inamaana hao mutakao waajiri wataacha muharibu Mali za watu kama mulivyo fanya siku zile wao watakuwa wanafurahia sasa hao polisi gani maana wakisema walinde Mali mutawaona makatili kama Hawa wa sasa