digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Tulia hivyo hivyo,wait for the dayNo, hatuwezi kukaa kimya na baadhi yenu mnataka kuichoma nchi na wote tuko ndani. Nyinyi watu ni hatari mno. Inabidi tuongeze juhudi ya kuongea na ndugu, jamaa na marafiki na watu wetu wakae mbali na nyinyi watu mnaohamasisha vurugu na uasi na agenda zenu. Kinachoniumiza zaidi ni kuwa baadhi yenu mko nje ila mnawachochea vijana waichome moto nchi.
Injustice anywhere is a threat to justice everywhere - MLKUnachochea kuni pakiwaka unaenda uvunguni......😄
Unaongea kishujaa kwenye keyboard kama ulitoka vile 😄😄 Mimi kama hukufa najua ulijificha uvunguni tu! Walioandamana wote RIPUsidanganyane wewe na nani?
Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.
Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.
Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.
Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.
Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.
Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.
Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
Risasi dawa yake risasi nyingiusiwadanganye wenzio.narudia RISASI HAINA MBADALA tusidanganyane
Sasa kama hujasikia unataka usikie?Ahaa nimetulia siku nyingi tu.ila msiendd Tena kizembe.chuma hata ukae MITA 100 inakupasua na panga lako.nafikiri mnatakiwa mfikiri Tena jinsi ya kumshinda aduu yenu.ndo maana sijasikia mpaka Sasa kama Kuna polisi aliyekufa unajua kwanini?
Ndiyo maana tunaforce wadau wajue kuunda silaha zao na mabomuMkuu ukiwa field kuna mzuka wake yaani huwazi tena kuhusu kifo mimi hadi niliporudi home ndo nikaanza kuwaza kuwa nimenusurika kifo...Ila ukiwa home zinalia wengi walikuwa wanajinyea na kujikojorea bila kutegemea lakini si ground!
Mi sijapola kitu chochote kile ila kuandamana hata wakisema saa12 jioni hii thingies road nimo!
kazi ipoGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
kazi ipoGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Kama uongozi ni ule ule tutegemee yaliyotokea kujirudiaThis time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
Ila wakenya 🫡Hii kitu hutengeneza uraibu,hapo watu wanategemea kuhemea mahitaji ya mwisho wa mwaka kwa kupora!!😁
Unaona wakenya walikuwa tayari kuchoma wese hadi Sirari ili washiriki sebene!!
Maandamano siyo Kosa la jinai... Serikari ikubali kukaa na Gen Z wamalize kesi.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Tulia wewe lazima TUKIWASHE this time hatutarudia makosa yaleyaleHatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Tulia wewe lazima TUKIWASHE this time hatutarudia makosa yaleyale
Uvunjivu wa amani unaletwa na CCM na POLICE Mneua watu wengi wasio na hatia
Ni muda wetu wa kulipa.
HIT EM UP!
Bado hujasema, haiwezekani mashujaa wetu wakapotea hivi hivi........ngoma bado mbichiHatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.