George Simbachawene ni nani hasa?

Mshamtibulia mtu mbio zake za sakafuni
punguzeni ufuku fuku maana mnatukosesha namba moja ajaye
😂
 
Awamu ya JK alikuwa waziri wa Nini?
 
Uwaziri hugawiwa kwa Kanda na makabila,Dodoma hawana mtu baada ya mzee malecela,so huyo anapetiwapetiwa
 
Kama sikosei Nishati, utanisahihisha
Huyo jamaa hakuwahi kuwa waziri wakati wa JK.
Uwaziri wake aliuanzia Kwa JPM akiwa nishati na alidumu Kwa miezi 10 tu kwenye hiyo wizara, akatumbuliwa baada ya mwezi akaenda akawa waziri ofisi ya raisi.

Kwa kifupi hakuna wizara huyu jamaa amekaa zaidi ya miaka 2. Labda awamu hii
 
Alikua waziri wakati wa jakaya,nakumbuka jiwe akimnyooshea kidole wakati wa kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…