Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Weka swali lako vizuriMhehe au mgogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka swali lako vizuriMhehe au mgogo?
Mshamtibulia mtu mbio zake za sakafuniNI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri
View attachment 2551539
Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu
Ni nani hasa? Safari yake ya kisiasa na utumishi serikalini ikoje? Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.
Bila shaka inahitaji Uzalendo usio na mashaka kusurvive mabaraza ya marais watatu
Awamu ya JK alikuwa waziri wa Nini?NI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri
View attachment 2551539
Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu
Ni nani hasa? Safari yake ya kisiasa na utumishi serikalini ikoje? Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.
Bila shaka inahitaji Uzalendo usio na mashaka kusurvive mabaraza ya marais watatu
Uwaziri hugawiwa kwa Kanda na makabila,Dodoma hawana mtu baada ya mzee malecela,so huyo anapetiwapetiwaNI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri
View attachment 2551539
Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu
Ni nani hasa? Safari yake ya kisiasa na utumishi serikalini ikoje? Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.
Bila shaka inahitaji Uzalendo usio na mashaka kusurvive mabaraza ya marais watatu
Huyo jamaa hakuwahi kuwa waziri wakati wa JK.Kama sikosei Nishati, utanisahihisha
Alikua waziri wakati wa jakaya,nakumbuka jiwe akimnyooshea kidole wakati wa kampeniHuyo jamaa hakuwahi kuwa waziri wakati wa JK.
Uwaziri wake aliuanzia Kwa JPM akiwa nishati na alidumu Kwa miezi 10 tu kwenye hiyo wizara, akatumbuliwa baada ya mwezi akaenda akawa waziri ofisi ya raisi.
Kwa kifupi hakuna wizara huyu jamaa amekaa zaidi ya miaka 2. Labda awamu hii
Halafu hawana tija yoyote kwa WananchiKama kudumu kwenye baraza...visiki na vigogo ni Mkuchika na Mhagama
Tija ya Waziri unaipimaje!?..au mradi mlaumu tuHalafu hawana tija yoyote kwa Wananchi
Ni kweli nilikuwa nachanganya mafaili hapa. JK alimpa uwaziri kabla ya uchaguzi wa 2015Alikua waziri wakati wa jakaya,nakumbuka jiwe akimnyooshea kidole wakati wa kampeni
Alikua Waziri January 2015-november 5,maana yake magu alimtumbua,alimshutumu kufungulia maji bwawaniNi kweli nilikuwa nachanganya mafaili hapa. JK alimoa uwaxiri kabla ya uchaguzi
Kweli hapo Uko sawaAlikua Waziri January 2015-november 5,maana yake magu alimtumbua,alimshutumu kufungulia maji bwawani
Ana kitu kwenye uongozi ndiyo maana wanamuhengahenga,ngumu kupata mtu anayefaa kiuongoziKwa hiyo ni bahati tu? Huyu Elimu yake ikoje
Kama nia kubalance mbona sasa anapewa wizara nyeti?