George Simbachawene ni nani hasa?

Kaka Unasema umetembelea wilaya zote hakuna Jimbo masikini kama Jimbo la kibakwe. Nakuomba ukipata muda tembelea na wilaya zilizoko mkoa wa kigoma,tabora,Katavi halafu njoo tena na hoja yako kuwa kibakwe ni Jimbo masikini zaid ya mengine.
 
Tapeli uyo mkubwa,ukifanya naye jambo lazima akuache beach.

Hawa watu wakiwa wanaongea utadhani ni wazalendo lakini kiundani ukijua mambo yao hawana tofauti na Dude yule wa Bongo Dasalamu
Hiyo ni tabia ya wanasiasa wote duniani,siasa ni utapeli na umafia.ukitaka ustaarabu ungana na mapadri,qachungaji na mashehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…