Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Wa jela jela original... kila kila binadamu ....binadamu hawana shukrani...
 
Kwa nafasi aliyonayo hapa Tanzania mbowe ni mtu mkuuubwa mnoo..huko gerezani ana heshimika saaana..habugudhiwi na wala hateseki..chakula analetewa na familia yake kutoka nje..godoro analolalia mbowe ni saafi tena jipya kabisa..blanketi na shuka za mbowe zinafuliwa kwa maji moto ili kuondoa wadudu wabaya kama kunguni..mbowe anaishi kwa amani saaana gerezani...SUKUMA GANG MSITESEKE DUNIA HII HUWEZI KUPENDWA NA WATU WOTE NA PIA HUWEZI KUCHUKIWA NA WATU WOTE..
 
Mbowe Ni presidential material.
Apana weka yeye kundi moja na mnyang'anyi Sabaya.
Mbowe alishawahi kugombea the highest office in the land.
Mbowe Ni kiongozi wa kitaifa.
Sabaya anakula vipisi vya nyama anavyopewa na nyapara kwa makubaliano maalum.
Mbowe anakula chakula kutoka sehemu Kama Kempiski.
 
usione ndege inapaa angani kutua ardhi Hadi iambiwe au usione meli inaelea juu yamaji haizami ujue imeundwa
 
Mbowe Ni presidential material.
Apana weka yeye kundi moja na mnyang'anyi Sabaya.
Mbowe alishawahi kugombea the highest office in the land.
Mbowe Ni kiongozi wa kitaifa.
Sabaya anakula vipisi vya nyama anavyopewa na nyapara kwa makubaliano maalum.
Mbowe anakula chakula kutoka sehemu Kama Kempiski.
acha ku deceive uma,! halafu usilitukanishe taifa et presidential material!!!!!,
 
Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Yupo kitengo cha jikoni

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati nlijua ukiwa na pesa unakua na kila kituu....hadi nlipokuja kugundua pesa inakupa outer cover.... tu na kuonekana kama hiyo ila
Nothing bigger than PEACE mkuu!
 
Nidhani ndani ya gereza yuko VIP ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jokes
 
acha ku deceive uma,! halafu usilitukanishe taifa et presidential material!!!!!,
Kaka, Sasa hutaki? Umesahau kwamba FAM aligombea urais? Au unakataa kwamba Mbowe sio kiongozi wa kitaifa? Au umesahau kwamba Mbowe alishakua kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni?
 
Jela hunyandui just imagine hicho kibunda unaweza kupinduka juu chini,
 
Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Inakera sana naomba waziri wa mambo ya ndani aunde tume. Mtuhumiwa ananawiri wakati mwendesha mashtaka anachoka
 
Back
Top Bottom