Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anawasikiliza na kufuata wanachomwambia bado unaendelea kumuamini?! haya mahaba yenu sio ya dunia hii aisee.Kinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa
Nimeanza kupoteza furaha niliyokuwa nayoUFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria...
Yaani huyu Abbas yeye anaingia twitter kuzungumza na nani wakati wengine tumefungiwa?
Abbas na Msigwa bado wa elements za mwamba yule sasa wasije wakalaumu baadaye.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Mbona Hii ilikuwa clear toka mwanzo?! Mainstream media ndizo zilizoingiza ushabiki katika kutangaza lakini Rais alikuwa clearUFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Mahakama zote hapa nchini, na mahakama ya afrika mashariki, zilithibitisha kwamba walilawiti watoto.Ukuweka chuki pembeni, je unaushahidi wenye kushikika au kuonekana kwamba walifanya hivo ulivyosema.??
Fake account
Spana ziendelee?I have taken a U-turn, kama huyu mama anasema ni viji Tv vya mikononi na si magazeti ndivyo vifunguliwe, basi tuna hasara tupu. Hamna kitu hapa CCM ni ile ile. Tujiandae mwendo wa watu wasiojulikanana kurudi, mauaji, kupotea watu etc etc, kila mabaya ya Jiwe yako pale pale!
Kigogo ameonya kuwa haya makelel ya kushangilia mtalia very soon!
Hao Abbas na Msigwa ni wapuuzi. Rais alitamka kuwa "Kuna vyombo vya habari vimefungiwa....sijui hivyo vi tv vya mkononi. Vifungulieni" Sasa wao wanaleta ujuaji ngoja waone.Magazeti lisening skills zero .Raisi alitamks kabisa TV za mitandaoni wao hilo la magazeti walilitoa wapi? nenda youtube hotuba nzima ya Raisi imo alitaja online Tv tu
Yani halafu wanajiita wasomi wameshindwa kuelewa kuwa pale alopoweka neno Vi tv vya mkononi ni ulikuwa mfano tu. Hawa watu wawili wana akili za hovyo na sijui Samia aliwapa hizo nafasi kwa kigezo gani. Watu dull hivyo unawapa majukumu muhimu kama hayo?Kamfichia aibu subordinate wake, for sure soon atatoa tena tamko la kufungulia vyombo vya habari kifasaha zaidi ingawa tamko lake kwangu mimi niliona limelenga vyombo vyote na Online TVs zilikuwa mfano. Aliposema Vi TV na ile Vifunguliwe, wale wenye akili zile zetu wameenda kwenye hizo VI mbili na kusahau kuwa msingi ulikuwa VYOMBO VYA HABARI....Vifunguliwe.
Lakini ni vizuri tutoke kwenye matamko na kurekebisha sheria ili akija mwingine asije tena na matamko yake bali sheria zi govern.
Mama naye naona ameanza kuwa mwanasiasa.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali