Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
..serikali ipi, kwa uchaguzi upi??Anaywtakiwa kutoa takwimu wakaiti huu ni serikali kupitia mamlaka zake baada ya kufanya tathmini ya kina.
Yeyote anayetoa takwimu wakati huu ni uchochezi, hawana vyanzo vya kutoa takwimu hizo kwa usahihi, tusubiri serikali ifanye kazi yake na takwimu hizo kutolewa.
Kama wamesema rais kapata kura 31m wakati si kweli, ndio utasubiti taarifa ya serekali utegemee kupata ukweli? Zama za kusubiri taarifa za kupikwa zilishapitwa na wakati.Anaywtakiwa kutoa takwimu wakaiti huu ni serikali kupitia mamlaka zake baada ya kufanya tathmini ya kina.
Yeyote anayetoa takwimu wakati huu ni uchochezi, hawana vyanzo vya kutoa takwimu hizo kwa usahihi, tusubiri serikali ifanye kazi yake na takwimu hizo kutolewa.
Mpumbavu mmojaAkiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Mbwa wewe, mlikuwa wapi muda wote kutufahamisha na kutupa miili ya ndugu zetu wewe mavi matupu?Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Maria sarungi alihesabu vipi maiti za dar,tukuyu,songwe,Dodoma,mwanza,kahama,shinyanga,geita,Arusha wakati watu wote walikua ndani?Msigwa anadai kutoa takwimu za waliokufa oct 29 ni kosa kauli inayoonesha uelekeo wa kuminya uhuru wa kujielezea na haki ya wananchi kutoa taarifa.
Kutoa taarifa kwa wananchi sio kosa ili mradi taarifa hiyo isiwe ya uongo, walio kufa ni ndugu zetu wa mitaani tukiona misiba tunajua.
Aidha kauli ya msigwa tunaitafsiri kama kujaribu kuficha ukweli hatuwezi kutegemea washukiwa wa mauwaji ndio watupe taarifa.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuMaria sarungi alihesabu vipi maiti za dar,tukuyu,songwe,Dodoma,mwanza,kahama,shinyanga,geita,Arusha wakati watu wote walikua ndani?