hata na hivvyo watu wameongezea chumvi vifo havijafika hata 150Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Mimi nimeuliza maria sarungi alihesabu vipi maiti akiwa Nairobi?..Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliu
View: https://m.youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
Mimi nimeuliza maria sarungi alihesabu vipi maiti akiwa Nairobi?..
Kutolewa uhai wametolewa,takwinu za watu elfu kumi mlizipataje?View attachment 3506324
Binadamu wametolewa uhai... Unakomaa na "takwimu". Good for you 🖕
Akili zako ndogo wewe Gallow bird, Kwani kujua idadi ya waliokufa lazima mtu awepo site? Kwa hiyo kwa akili yako mbovu huwezi kupata information kutoka kwa wananchi? Kwani tumejuaje Mdude au Polepole alitekwa? Kwani Maria Sarungi alikuwepo? Lakini Mdude na Polepole si walitekwa na pengine kuuawa na hayo majambazi ya Samia.Maria sarungi alihesabu vipi maiti za dar,tukuyu,songwe,Dodoma,mwanza,kahama,shinyanga,geita,Arusha wakati watu wote walikua ndani?
View attachment 3506324
Binadamu wametolewa uhai... Unakomaa na "takwimu". Good for you 🖕
Unaepiga leta takwimu zako sahihi.. Easy pKutolewa uhai wametolewa,takwinu za watu elfu kumi mlizipataje?
29/10-31/10 watu wote walikua ndani,nani alihesabu?Akili zako ndogo wewe Gallow bird, Kwani kujua idadi ya waliokufa lazima mtu awepo site? Kwa hiyo kwa akili yako mbovu huwezi kupata information kutoka kwa wananchi? Kwani tumejuaje Mdude au Polepole alitekwa? Kwani Maria Sarungi alikuwepo? Lakini Mdude na Polepole si walitekwa na pengine kuuawa na hayo majambazi ya Samia.
Kupata habari si lazima uwepo hapo, wewe ukiambiwa mama yako amebakwa huko Mbeya na wewe uko Dar.....Utasema siyo kweli kwa sababu hukuwepo? Aliyekupa taarifa including mama yako hutawaamini? Acha upuuzi wewe punda muuaji, Akili za ki-Greyson Msigwa, anaongea Weledi wa CNN, lakini haongelei jinai ya bi chupaki kuua watanganyika wasio na hatia. Mpumbavu wewe.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliu29/10-31/10 watu wote walikua ndani,nani alihesabu?
Satellite!alihesabu?
Ndio maana nasema akili yako ina shida, zile maiti zilizopelekwa morgue haujui kuwa zinaingizwa kwenye registers???? Maelfu waliopigwa risasi kwenye nyumba zao, au wale walikuwa wanyama. Huna akili sana, naona nikuache wewe mtekaji wa bi Kizimkazi maana naona kukujibu napoteza muda wangu tu. Ni wewe tu peke yako ulikuwa ndani, wengi wetu walikuwa nje, ndiyo maana hizo video zipo.29/10-31/10 watu wote walikua ndani,nani alihesabu?
Iyo srilka yako itatoa wapi takwimu sasa hivi kama walikuwa nayo walisubiri nini kuitoa hahaah shm29/10-31/10 watu wote walikua ndani,nani alihesabu?
Tumia akili,siyo ya kuvalia nguo tu na kula, asubuhi tu mlianza waneuawa maelfu,mlipataje idadi Yao na nyote mlikua uvunguni?Ndio maana nasema akili yako ina shida, zile maiti zilizopelekwa morgue haujui kuwa zinaingizwa kwenye registers???? Maelfu waliopigwa risasi kwenye nyumba zao, au wale walikuwa wanyama. Huna akili sana, naona nikuache wewe mtekaji wa bi Kizimkazi maana naona kukujibu napoteza muda wangu tu. Ni wewe tu peke yako ulikuwa ndani, wengi wetu walikuwa nje, ndiyo maana hizo video zipo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Satellite!
Hatumtaki takwimu za kupikwa tunaelewa saivi sisi sio vijana wa miaka ya 1980Anaywtakiwa kutoa takwimu wakaiti huu ni serikali kupitia mamlaka zake baada ya kufanya tathmini ya kina.
Yeyote anayetoa takwimu wakati huu ni uchochezi, hawana vyanzo vya kutoa takwimu hizo kwa usahihi, tusubiri serikali ifanye kazi yake na takwimu hizo kutolewa.
Una uhakika walikua nayo?..unawapangia lini wafanye nini,wewe nani?Iyo srilka yako itatoa wapi takwimu sasa hivi kama walikuwa nayo walisubiri nini kuitoa hahaah shm
Povu sitaki kama hawakuwa na statistic ya vifo watazipatia wapi,kwaiyo wanastatistik za mali zilizoungua tu vifo hawana basi waendelee ivo ivo kutokuwa nazo, gallow unajitahid kuwatetea sana sijui unalipwa kiasi gani nasheshim kazi yako maana ndo unajipatia kipato ila kibarua chako kigumu sana hela yako ni ya moto sana but anyway goodworkUna uhakika walikua nayo?..unawapangia lini wafanye nini,wewe nani?