F field marshall1 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2017 Posts 2,061 Reaction score 4,686 Nov 23, 2025 #41 gallow bird said: Tumia akili,siyo ya kuvalia nguo tu na kula, asubuhi tu mlianza waneuawa maelfu,mlipataje idadi Yao na nyote mlikua uvunguni? Click to expand... Wanaume tulitoka, siyo wewe mtekaji, mbwa wewe usiye na akili. Usinipotezee muda wangu.
gallow bird said: Tumia akili,siyo ya kuvalia nguo tu na kula, asubuhi tu mlianza waneuawa maelfu,mlipataje idadi Yao na nyote mlikua uvunguni? Click to expand... Wanaume tulitoka, siyo wewe mtekaji, mbwa wewe usiye na akili. Usinipotezee muda wangu.
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,720 Reaction score 10,282 Nov 23, 2025 #42 Mbwa sana
A August Platinum Member Joined Jun 18, 2007 Posts 10,983 Reaction score 7,157 Nov 23, 2025 #43 Mwizukulu wa Buganda said: Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi. View attachment 3506314 Click to expand... Wanaficha taarifa sahihi Kwa wananchi ni wavunja Katiba , Kwani taarifa sahihi Kwa wakati ni Haki ya kikatiba
Mwizukulu wa Buganda said: Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi. View attachment 3506314 Click to expand... Wanaficha taarifa sahihi Kwa wananchi ni wavunja Katiba , Kwani taarifa sahihi Kwa wakati ni Haki ya kikatiba