Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Mimi sio mkristo we nipe hoja tu mitakuelewa.

Nimeelewa hona yako kuwa Uislamu haumzuii muovu kuwa muisilamu.

Hilo nakubaliana na wewe

Hoja ambayo tunashindwa kukubaliana ni baada ya huyo muovu kujiunga na uislamu na kuendelea kuyafanya hayo maovu.

Mtu aliyekuwa akila nguruwe akisilimu kuja kwenye Uislamu halafu baadae akaendelea kula nguruwe, ataendelea kuhesabika kuwa ni muislamu?

Je itakuwa ni pride kujivunia kuwa na mtu huyo kwenye Uislamu?
 
Dini zote zinafanya kazi sambamba na zote ni za uongo tu hakuna ukweli wowote ni upigaji tu
 
Kawaida tu hiyo....hakuna jipya hapo
 
Dini zote zinafanya kazi sambamba na zote ni za uongo tu hakuna ukweli wowote ni upigaji tu
 
Ficha ujinga wako. Amri ya nchi wapi. Kwanini waislamu wengi mnakuaga wajinga? Nile mimi uharibu swaumu wewe?
 
Unajisifia ujinga. Maimamu mashoga wamejaa tele. Mmewafanya nini.?
 
Yanii hata imam akiwa shoga hakuna sehemu ambayo hata dini yako inaruhusu ushoga..ndo mana'ke kelele ni nyng cha msingi imani ya dini inakutaka uishi na uiamini vipi..sasa huo ushoga ni imani au mtindo wa maisha?
 
Ataendelea kuwa muislam ndugu yangu sababu ameshathibitisha kumuamini Allah na mtume wake. Sasa kawa muislam lkn matendo yake ni yale yale tunayaona hata humu mitaani..sasa hapo uislam ndo unapojimbambanua kwmb waja wote ni Allah yeye ndo atakaye kuhumu..na tutakuzika kwa taratibu zote. Nakusisitiza jaribu kutofautisha imani ya dini na mtindo wa maisha ya mtu..mfano Mwamaleki ..hajui hoja zake zipo kwny misingi ipi?mtindo wa maisha au imani ya dini...
 
Kwahiyo wew huamini mafundisho ya Mtume Muhammad? Kuna verses nyingi kwenye hadith tofauti especially in Sahih Al Bulhari inayosema Apostles wauawe mtu akitoka kwenye uislam kwenda kweny dini nyingine adhabu ni kifo. Hizi sheria hazitungwi tu ni Sheria ambazo ziko katika mafundisho ya dini kaka
 
Nampa pongezi nyingi kujiunga na dini ya Watu na Majini.
Sio mbaya akipata Kajini kamoja kamfumdishe Aya za Qurani.

Jami` at-Tirmidhi 18

Abdullah bin Mas'ud narrated that :

Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
 
Mtu kua Mkristo sio story ila akibadili dini inakua story
 
Safi sana
 
Waislamu dini sio ligi .kitu chochote kibaya huwa ukijiunga nacho members wanakuwa na kelele sana .mfano mtu akiamua kuwa mlevi habari zitasambaa sana ila akiamua akasome masters hutasikia ikisambaa.
 
Mbona kama sijakuelewa?

Dini sio mtindo wa maisha?.... Kivipi?

Kwani yale makatazo ya dini kuhusu haram huoni kuwa yanagusa life style ya mtu?

Kwamba dini imekataza vitu Haram lakini haijakataza tabia za mitindo ya maisha ya waumini wao.

Kwamba muumini amekatazwa asile nguruwe, lakini ikitokea muumini huyo anakula nguruwe basi haitohesabika kuwa ni kosa ikiwa tu itabainika ni sehemu ya mtindo wake wa maisha?

Sijui ndio hivyo ulivyomaanisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…