Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mimi sio mkristo we nipe hoja tu mitakuelewa.Umetia
Inshort hakuna sehemu kwny uislam unasema
unasema tabaka fulani au mtu asisilimu kutokana sifa yake mbaya..mfano kipindi cha Mtume Muhammad (S.AW)..kuna watu walisimu wakiwa walifanyia unyama mauji makubwa waislam..mfano Omar bin khatab (R.A.)..qmbaye baadaye alikuja kuwa khalifa wa pili katika uislamu alikua katili kweli kweli kwa waislam ...jambo jema unaposilimu dhambi zako zote unasamehewa..kwa mfano Tank hapo atokee shekhe aseme haiwezekani awe muislam sababu ana Tattoo kwa kigezo kipi?..hakuna au Tyson sio muislam kwa vitendo vyake kwa kigezo kipi hata huyo shoga...mnachoshndwa kuelewa wagalatia sie waislam tunaamini siku ya mwsh Akhera..Allah ndo mwny kuhukumu..asa sahv waislam tuwe na taharuki na Tyson kwa kipi?...ukitaka waislam wawe na taharuki utoe matamko ya kiimani tofauti hapo hakuna ataye kaa kimya..tofauti na daily...mnaoteshwa kuongea na Yesu matamko ya kiimani hayaishi...Juzi tuu hapa Manabii kutoka Marekani wamesema wanaona status za Yesu...how come namna hii kutoa matamshi ya imani?..na hii ndo tofauti yenu na yetu.
Nimeelewa hona yako kuwa Uislamu haumzuii muovu kuwa muisilamu.
Hilo nakubaliana na wewe
Hoja ambayo tunashindwa kukubaliana ni baada ya huyo muovu kujiunga na uislamu na kuendelea kuyafanya hayo maovu.
Mtu aliyekuwa akila nguruwe akisilimu kuja kwenye Uislamu halafu baadae akaendelea kula nguruwe, ataendelea kuhesabika kuwa ni muislamu?
Je itakuwa ni pride kujivunia kuwa na mtu huyo kwenye Uislamu?