Kwani hospitali tunazoongelea hapa ni za binafsi? labda kama umekurupukia mada....Watanzania wasio na ndugu ni wachache Sana na serekali inatumia Kodi kuwasaidia
Kodi haiwezi kukukipia wewe na maitaji Yako binafsi
Kodi inalipa huduma za umma
Acheni ujinga kutaka sisi tuwalipie huduma binafsi (afya ) fanyeni kazi tibuni ndugu zenu na familia zenu