Umeambiwa ni ya aina hiyo hiyo..Kabla ya kujua hizo cost, kwanza ni kujua unazungumzia Enalapril ipi na ya wapi?
Mbona hata Co-amoxyclav zinatofautiana ndani ya duka moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa ni ya aina hiyo hiyo..Kabla ya kujua hizo cost, kwanza ni kujua unazungumzia Enalapril ipi na ya wapi?
Mbona hata Co-amoxyclav zinatofautiana ndani ya duka moja?
uzalendo ni mgumu; ndio maana wengine hawakatwi kodiKwa kumbe ni mashindano ya posho na mhanga ni mgonjwa au marehemu?
Matokeo yake ndiyo Bei hIzi?
Kwa hakika tunakoelekea siyo kwenyewe.
uzalendo ni mgumu; ndio maana wengine hawakatwi kodi
Una miaka mingapi binti?Mkuu yaonesha umeguswa vilivyo. Siyo kwa makasiriko haya!
Matusi ya nini kama kweli una hoja?
Bei ni kubwa kwa misingi hii hapa:
"Wasiwasi wetu ni kuwa bei zinazotozwa ni kubwa mno kwa watu au mfuko wowote wa bima kutokufilisika."
Mfano gharama ya MRI kwanini kuwa zaidi ya 350,00/- wakati kimsingi hakuna consumables zozote tuseme zinakuwa zimetumika?
Anayebweka bweka haitakuwa ni wewe ndugu?
Tunasema utaratibu huu wa bei kwa kuchukua "a fraction of a replica" kutokea "private hospitals" siyo sahihi. Hii haijalishi aliyeridhia hayo ni nani.
Zingatia:
1. Tunaolipa ni sisi na mifuko hii ni yetu, hatutaki tufilisike!
2. Tumepewa bei za huduma. Haturidhiki nazo. Tunahitaji kujua kipengele kwa kipengele ndani ya huduma hizo, kujua gharama halisi ili nasi kama wateja tujiridhishe na bei za huduma.
3. Mchango wa umma kwenye hospitali za umma.
Matatu haya kwa nini kukukera wewe hivyo?
Hatuna tatizo na wahudumu wa afya. Tunajua wao ni wahanga tu kama sisi, ila (bila shaka) ninyi kwenye ule mhimili uliojichimbia zaidi matatizo yetu hayahuwasu.
Tangu lini mwenye shibe akawajua wenye njaa?
Kwanini bima haikulipa CTScan?Juzi mwanangu ana bima NHIF lkn nikaambiwa nitoe 250000 kwa ajir ya ctscan aisee kidogo nizimie lkn shukran kwa wanandugu walisapot sana within a minute ilipatikana [emoji1545]
Una miaka mingapi binti?
Wewe na huyo Mollel akili zenu zinafanana.
Bima ilikwisha muda nikampeleka Mzazi hapo Hospital ya Rufaa Mbeya aisee kuandiaka andika tuu na Dr bado hatujamuona zilitoka Bill utadhani tupo India...nikasema sawa sawa..hao jamaa wanachaji aisee...
Mollel udaktari wake kasomea. Kumbe wako ni wa kijiweni?Wewe na huyo Mollel akili zenu zinafanana.
Hakuna mtu halipi Kodiuzalendo ni mgumu; ndio maana wengine hawakatwi kodi
Unajua hata ana udaktari gani na wa nini kweli?Mollel udaktari wake kasomea. Kumbe wako ni wa kijiweni?
Hakuna mtu halipi Kodi
Shida ni watanzania kutaka Bure
Hata sielewi Mkuu hizi sio Hospital za Umma kama watu wanavyoaminishwa...Ndivyo wanavyoichaji mifuko ya bima na hapo bado wanavyo bambikiwa bima. Mifuko ya bima itaacha kufilisika?
Kumbuka ni hospitali za umma. Gharama za malipo hayo ni kwa vigezo gani?
Hata sielewi Mkuu hizi sio Hospital za Umma kama watu wanavyoaminishwa...
Ukija kwenye bei ya hizo dawa utadhani nazo zina Kodi au kikokoteo kama cha magari huwa nashangaa tofauti kubwa ya bei...pana mwaka mmoja mjomba angu alikua na maradhi ya Moyo daah hapo Bongo ilikua kama mrija wa kujipatia pesa sijui kipimo mara Aga Khan mara dozi ya mwezi mmoja karibu laki nane nilipowasiliana na madaktari huko Cape Town Groot Skill hospital walisema mlete aje na passport yake muhuri uwe valid tuu atatibiwa bure kweli alivyofika nilidhani ni ishu ya muda mrefu alikaa hospital siku tatu walimpa dawa na gharama zote buree kabisa mpaka kesho karudi kwenye kazi zake ngumu wakati Tanzania walisema asifanye kazi ngumu na atakua anapewa dozi kila mwezi...Matibabu Tanzania ni ghari sana sanaInataka kujitoa ufahamu kwanza kupata ujasiri wa kutetea uhalali wa bei hizi.
Hili si jambo la kuachia hewani.
Kupitia matibabu Pana wajanja wamejipanga kuwafukarisha watu na kujineemesha wao kupitia hospitali za umma.
Bima ni kama conduit kwenye kufanikisha hilo.
"Muhimu kwao ni pesa."
The end justifies the means.
A very fact
Ukija kwenye bei ya hizo dawa utadhani nazo zina Kodi au kikokoteo kama cha magari huwa nashangaa tofauti kubwa ya bei...pana mwaka mmoja mjomba angu alikua na maradhi ya Moyo daah hapo Bongo ilikua kama mrija wa kujipatia pesa sijui kipimo mara Aga Khan mara dozi ya mwezi mmoja karibu laki nane nilipowasiliana na madaktari huko Cape Town Groot Skill hospital walisema mlete aje na passport yake muhuri uwe valid tuu atatibiwa bure kweli alivyofika nilidhani ni ishu ya muda mrefu alikaa hospital siku tatu walimpa dawa na gharama zote buree kabisa mpaka kesho karudi kwenye kazi zake ngumu wakati Tanzania walisema asifanye kazi ngumu na atakua anapewa dozi kila mwezi...Matibabu Tanzania ni ghari sana sana
Nchi ina watu wenye laana hii unawezaje kuwadai wananchi wako kwa kukaa na mwili faida ya wao kuwa Watanzania ni nini wakati wao wabatibiwa Nje kwa kodi zetu...inakera sana kwa kweli..Angalia huyu:
View attachment 2521351
Kwenye hospitali kama hiyo uwezakano wa kupona ulikuwa mkubwa na bei isingefika huko.
Kuuvaa ujasiri wa kuwakomalia watu hawa si jitihada mfu.