AFRICAN POWER
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 151
- 234
KUZAA SIO KUPATAWatu wana roho ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUZAA SIO KUPATAWatu wana roho ngumu.
Huyu kijana sijajua imani ya dini yake ila nadhani anahitaji kuisoma dini yake sana
Ayubu Alirudishiwa Kila Mali mara Mia.Kibinadamu sio rahisi mkuu, haya mambo unaweza kumlaumu lakini likiwa kwako ndio utaelewa anachoongea.
Hawa ni wazee wetu, tunawapenda sana, tunawahudumia kwa dhati ya mioyo yetu na uwezo wetu, lakini kuna sehemu ubinadamu unachukua nafasi yake, madhaifu yetu yanadhihirika pale unapoona kazi unayoifanya haina faida(mzee haponi na rasilimali zinaisha). Achana na kuuguza, ni kazi kuliko kazi ila tummies nguvu, tusimlaani kwa sababu ndio jukumu lake kwa sasa.
Unatumia IDs nyingi. ila nimeepuka tu mjadala wa kidini hapa maana kuna mambo sisi wenye hekma tunayaacha hatujazi watu ambao si sehemu yao hapo. hakuna kitu ambacho huwa najaribu kwanza kuepuka kama kuanza mchambulia mtu dini hasa ya uislamu. naifahamu sijakariri. naifahamu kwa ukaribu sana...sisi ni baadhi ya watu ambao marhamu sheikh yahya alikuwa anakuja mpaka nyumbani kukaa kuongea na mzee habari za dini ya kiislamu. nami nimesoma tena kwa kusoma Mombasa na Lamu... ila mwishowe nimebaki na akili zangu timamu.Hoja hupingwa na hoja lete aya inayopinga aliyoyatoa huyo member ikiwa wewe unaijua dini kuliko yeye.
Mtu yeyote anweza kuwa alhaji akishaenda ku hiji makka ,mtu yeyote anaweza pia kuwa mufti maana ni nafasi ya uteuzi wa kiserikali na haizingatii elimu ya dini .
So usitumie hayo kama chaka la kujifichia pinga hoja kwa hoja
Pole sana kwa kuuguza ila unapouguza usitazame kile utoacho kama unacho toa kama huna basi usimsimange mgonjwa bali muombe Mungu akusaidie pale unapokuwa na uzito akufanyie wepesi,Ila heshima ya wazazi wetu inatakiwa iwepo wangali wapo hai ama wametangulia mbele ya haki,Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.
Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?
Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.
Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
Hizo ni habari za Ayubu, njoo kwenye uhalisia wa dunia ya leo utaniambia, tuwaombee wazee wetu wawe na maisha mazuri na mwisho wao uwe mzuri. Ikiwezekana kuwe na bima ya afya ya wazee ili kupunguza machungu ya kuuguza na kumaliza rasilimali zote za familia.Ayubu Alirudishiwa Kila Mali mara Mia.
Hudumieni huyo Mzee.
Mimi mpaka hapo sijaona ustaarabu wako pia. Mimi nimeongea uhalisia ulivyo. Kila mtu ni mzee na marehemu mtarajiwa. So hi haitoi kibali cha mtu kuwa mnafiki na mpuuzi. Kuna haja gani kutumia chakula cha wazima kumpa mtu ambaye hatoweza kuwa mzima? Wafe wote? Miaka 90 plus unadhani ni michache? Na hali yake si nzuri. Unadhani kuna mtu ataishi milele?
Sasa unataka tukushauri ummalizie afe au???Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.
Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?
Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.
Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
Afu me ndo nilikua mwanaependwa sema tu mi nna moyo mgumu. Mshua kishanichana mara kibao😀 😀 😀utadhani mama ako alipokuzaa akakutupaa daah
Kwa hiyo unatakaje sasa,Mimi mpaka hapo sijaona ustaarabu wako pia. Mimi nimeongea uhalisia ulivyo. Kila mtu ni mzee na marehemu mtarajiwa. So hi haitoi kibali cha mtu kuwa mnafiki na mpuuzi. Kuna haja gani kutumia chakula cha wazima kumpa mtu ambaye hatoweza kuwa mzima? Wafe wote? Miaka 90 plus unadhani ni michache? Na hali yake si nzuri. Unadhani kuna mtu ataishi milele?