Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Kwanza unasemea zanzibar ipi pwani kwa watalii au mwanakwerekwe huko..!

Kama ni pwani kwa watalii huko sio size yako na sio size ya watanzania wengiii..

Ila sehemu nyingine zanzibar nikawaida kama sehemu nyingine Tanzania
Hujui chochote mkuu, utanipotezea muda Bure.

Wiki ya pili Sasa nipo Paje Tena naishi Villa sio hotelini ila Mimi sio mtu wa kukaa sehemu Moja kama kuku wa Broiler, ninampango wa kutembelea fukwe zote maarufu ndo nirudi kuendelea na mitikasi yangu Dar
 
Sasa paje huko ni kwa watalii huwezi sema maisha huko ni ghari wakati umeingia sehemu za kitalii..
Kaishi mwanakwerekwe then uje urete mrejesho hapa..
 
Last time nililala room ya 80,000/-niliona kama Niko hostel ya wanafunzi,very poor standard,kwa kifupi nilipewa chicken lala kwa dinner,Wacha nikimbize mwizi usiku kucha,kesho yake nilifanya kazi ya siku sita kwa siku moja na wala sikujali nilipopigwa barua na king kiki,nikamwambia Mimi sitafanya kazi tena huko hata kama ni ya siku kumi,Bora nifanye Arusha na Mbeya nigonge vyombo kwa Mlombo na maeneo ya mjini kati,unalala ghorofani kwa bei poa kabisa na maua ya Arusha kama yote,in fact DSM ndo mpango mzima,ukifanya kazi yako jioni ndani ya kaliakoo unaenda zile restaurant za wazambia au unaenda beach kila Kona ni good time.Nyama.choma kwa bei poa unagonga vitu na kusahau majanga ya mikoani,ukienda Coco beach ni Raha tupu,watoto kama wote, Zanzibar ni majanga sijui hata wanafaidi nini kwenye tozo tunazowasaidia,mda wote watu wamenuna.Aghhhh hovyo kabisa
 
TRA inahitaji reform, mikopo ya nje sisi haituhusu walipe kwa mirahaba watuachie nchi yetu.
 
Nilikutana na mtalii mmoja akilalamika kuhusu hotel na vyakula Zanzibar kuwa na gharama zisizoendana akilinganisha na visiwa vya Thailand sasa naanza kumwelewa taratibu.
na sasa hivi wametambulisha ujinga wa kulipa dola 44 kama inbound insurance kwa kila kichwa kimoja cha mtalii. wanasiasa hopeless..in long run utalii utajifia hapo zanzibar kutokana na upumbavu wa serikali na gharama zisizoendana na ubora/uhalisia ukilinganisha na sehemu zingine za visiwa.
 
Ndio unajua leo hao asilimia 90 ya vyakula vyao wanategemea kutokea huku barA mkisitisha kupeleka vyakula wanakufa njaa
 
Hapo Kendwa kuna malaya wa kizungu wengi sana, wengi wao kutoka Ukraine huko kwenye vita vya Putin
 
Sasa uislamu umeingiaje hapo mwehu ww
 
Nakubaliana na wewe kabisa, serikali isipochukua hatua thabiti ķwa hakika Zanzibar wataenda watalii wachache sana na mtu anayependa kutoa pesa na kupata huduma zinazoendana na pesa yake wote watapakambia huko.
 
Tena nawalaumu kwa Umuhimu wa Kiutalii wa hicho Kisiwa hiyo Ndizi Moja walitakiwa Waiuze Shilingi Elfu Tano badala ya hiyo Nafuu ya Shilingi Elfu Mbili.
Watalii wanaenda Zanzibar wengi wao ni Wazungu wa uchumi wa chini, Zanzibar unaenda generic kununua mahitaji utakutana na Mzungu ananunua kiting Kimora na fungu la Nyanya na mchicha.
 
Maeneo mengi Zanzibar huwezi kulima kwasababu ardhi yake asilimia nyingi ni mwamba (jiwe) hapalimiki
 
Kwanza unasemea zanzibar ipi pwani kwa watalii au mwanakwerekwe huko..!

Kama ni pwani kwa watalii huko sio size yako na sio size ya watanzania wengiii..

Ila sehemu nyingine zanzibar nikawaida kama sehemu nyingine Tanzania
Nickweli sehemu nyingi Zanzibar papo hovyo hakuna mipango miji yani ukichukua Kijitonyama na Sinza ndiyo Masaki ya Zanzibar, Zanzibar mitaa yao imejengeka kana ilivyo Magomeni, Manzese Mburahati, Vingunguti, kigogo, keko, Sema wao uswahilini



kwao hakuna watu wengi kumetulia lakini kupo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…