Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Sio kweli, Chukwani na Mbweni kumejengeka na kupangiliwa angalau
 
Mishikaki ya pweza elfu 8 pale forodhaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.nilinunua sababu nilipiga hela za freemason. Ila ingekuwa hela zangu nisingenunua
First time nimekuja uku nilianzia 6 degrees pale Stone town savannah moja 5$, kilimanjaro kubwa 3$ , baked pork chops with potatoes (kitimoto)30$ nilitamani kurudi Bongo kesho yakeπŸ˜… ilibidi nihame location
 
Acha ujinga.Hao ndugu zao wanaowatumia hivyo vitu sio waislamu?Mbona wanafanyakazi na kuwasaidia ndugu zao.
 
Na hili litakimbiza watalii wengi sana.
 
Mishikaki ya pweza elfu 8 pale forodhaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.nilinunua sababu nilipiga hela za freemason. Ila ingekuwa hela zangu nisingenunua
Wiki iliyopita ninunua mshikaki wa samaki elfu nane, juisi ya miwa elfu 5. Yaani maisha kule hapana aisee. Ukienda nje kidogo ya stone town watu wanaishi maisha ya tabu sana. Wamedhoofika hatari.
 
Mkuu Mimi Niko Paje uku Villa Moja nalipia 90$, soon narudi Bongo
Mkuu, Wasalimie hapo Jambiana nilikua pande hizo za Paje Holiday ya 2022.

Nilifanikiwa kuingia pale Colar Rock Hotel kulikua na live show. Hapo tots moja ya John Walker Red Label ni 10K, imagine hadi uje kuwaka umeacha kiasi gani nilikuja kushtuka nipo tots ya 12 halafu bado sielewi nikaona hawa wana masihala na pesa zangu na hata saa 7 usiku sijatoboa.
 
Jambiani sijafika mkuu, niko hapa Paje barabara ya Michamvi, Johnnie walker kubwa (Red Label) sehemu nyingi wanauza 50$, nimeanza kujifunza kitesport (40$ kwa saaπŸ˜…) nikishajua ndo nitoke uku maana nimeona ni fursa nzuri sana next time nikija sitosumbuka sehem ya kureplace gharama za kustay uku.

thumb up πŸ‘
 
Watalii wanaenda Zanzibar wengi wao ni Wazungu wa uchumi wa chini, Zanzibar unaenda generic kununua mahitaji utakutana na Mzungu ananunua kiting Kimora na fungu la Nyanya na mchicha.
πŸ˜‚ kuna wazungu waswahili usikariri wazungu wengine ma beach boy tu!,sasa mtu ananyumba hukuhuku ulitaka akanunue nyanya gunia..?
 
kwani konyagi hukuziona..?? Zanzibar kodi za vilevi ni kubwa usiwalaumu wauzaji serikali ndio tabu.. mkuu ungetafuna hata jagermaister ile tot haiwezi kufika 10000...πŸ˜‚
 
Hapo Michamvi usikose kuhudhuria swimming part kama sijakosea ni kila Jumanne usiku. Usisahau kupita na hapo chuoni kwa watasha wanaojifunza kiswahili.
 
kwani konyagi hukuziona..?? Zanzibar kodi za vilevi ni kubwa usiwalaumu wauzaji serikali ndio tabu.. mkuu ungetafuna hata jagermaister ile tot haiwezi kufika 10000...πŸ˜‚
Mkuu Konyagi haipiti ila hizo tot za Jagermaister haziwezi kuwa chini ya hiyo 10K πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Lodge nawaelewa wanafanya hivyo ilikuepusha ufuska na pia kupromote hotels inawasaidia sana,lodge ya elfu 40/35 bara 10k,pia kumbuka 95% ya vyakula vinatoka bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…