Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,

Katili pumzi ya mwisho akaivuta, hatimaye akaenda kuwa kiongozi wa mashetani!!
Mbona Ndugai yupo Maana naye alimtabiria kuwa atakufa?
 
Angeendelea kukalia kiti aone moto wake!!
Kwaiyo kwenye kiti ndio kulikuwa na tego.Yeye Lema alisema Ndugai hakaage mapema Maana nda si mrefu atakufa, hayo ya kuachia kiti ni yako mwenyewe, mpaka Sasahivi anakula mshahara wa mbunge na spika mstaafu.
 
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
👇
View attachment 2488095

Kama ingekuwa rahisi ukiwa na madeni ukasema ni mkimbizi wa kisiasa kisha uupate, mbona watanzania wengi wangekuwa wakimbizi? Au unafikiri kuna wazungu wajinga hawajui kupata ushahidi wa hatari ya usalama wako?
 
Kwaiyo kwenye kiti ndio kulikuwa na tego.Yeye Lema alisema Ndugai hakaage mapema Maana nda si mrefu atakufa, hayo ya kuachia kiti ni yako mwenyewe, mpaka Sasahivi anakula mshahara wa mbunge na spika mstaafu.

Kwenye kiti si ndo alikuwa anadhukumu haki za watu?? Sasa akishakiachia si ndo pona yake!!?

Mwacheni alelee wajukuu maana alishaona hapa naenda kuungana na shetani soon!!
 
Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Swali lako ni sawa na na wale wanaosema kama Jiwe alikuwa muuaji mbona wewe hajakuua. So wew ulitaka wanasiasa wote wakimbie ndiyo uamini. Pathetic
 
Kikubwa na furaha yangu mimi ni Jiwe kuondoka tu bila kujali kaondokaje. Hata angegongwa na tembo sawa tu Watanzania tungefurahia. Kama kuna mtu alihusika au corona basi mnara ujengwe kuwapa heshima
 
Kifo hakitabiriwi sababu kifo unakivaa siku unayozaliwa. Ndesamburo yuko wapi? Dada ake Lisu yuko wapi?
Kufa siyo ishu kwani kila mtu atakufa tu. Ila kufa sababu ya udhalimu wako diyo tatizo. Fikiri wewe ni kiongozi lakini unakuwa dhalimu mpaka raia wako wanakuombea mauti
 
Mbona wewe uko hai?? Au Ulikuwa hujazaliwa????
Hata Idd Amin hakuua raia wake wote lakini alikuwa muuaji tu kama Jiwe. Sukuma gang muwe mnatumia akili hata kama akili ndiyo hivyo tena
 
Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?

Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ujinga ni sifa kama ilivyo ufupi au urefu.

Hivi unadhani nchi zinaongozwa kama genge la kongoro? Kama unaamini ni rahusi kiasi hicho, na wewe tafuta hiyo fursa.

Yawezekana uelewa wako ni mdogo sana. Kwaajili ya kuongeza uelewa wako, kupata hifadhi ya ukimbizi wa kisiasi katika nchi nyingine hupitia mchakato na uchunguzi wa kina kuthibitisha kama ni kweli kubakia kwa mtu huyo katika Taifa lake kuna hatari ya kudhuriwa au kuyapoteza maisha yake kwa sababu ya msimamo wake wa kisiasa.

Kwa hiyo lazima mambo matatu yadhihirike pasipo shaka:

1) maisha ya mhusika yapo hatarini kama akibakia nchini mwake.

2) hatari yale ya kupoteza maisha inatokana na msimamo wake wa kisiasa.

3) kitisho hicho cha usalama wake kinatokana na serikali na watawala katika nchi yake.
 
Sasa kulikuwa kuna haja gani ya kumfunga kama kakuambia kitu chenye uhakika? Mungu fundi kupitia corona nchi ikapona
 
Duh! Ila kifo si kila mtu atakufa inajulikana hivyo sasa hapo kipi cha kuitwa utabiri? Labda angesema atakufa vp.
Utabiri wake ulikuwa halisia kwa kuzingatia muda, na matendo.
 
Adui anayeua watu anatakiwa kuuliwa haraka ili asije kukuua na wewe. Ndiyo maana watu walimlilia Mola wao ili Jiwe afe asije maliza raia wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…