Unaheshima kubwa hapa, ila some times mambo yako yanatupa tukudharau""
Jaribu kuuvaa utu wako halafu uchangie
Mh Lema ni kweli alitabiri hivyo, utabiri wake uliishia 2019 December, maana alisema hataumaliza mwaka huo, na kipindi hiko Lema alikuwa ni mbunge,
Sasa ukweli ni upi mkuu, halafu, ni lini na wewe ukaanza kufurahia adui yako afe badala ya kumwombe aish ili auone utukufu wa Mungu wako unapoinuliwa?
Mambo ya Kisasi ni juu ya Mungu, mwanadamu ukilipa kisasi unakuwa nje ya utaratibu wa Mungu" na yeyote alipaye kisasi badala ya Mungu kulipa kisasi huyo si wa Mungu' bila ya shaka wewe ni mjuvi wa Vitabu