Maisha ya Mbowe hayakuwa hatarini kwa sababu Mbowe hakuwahi kutabiri kifo cha mtu.Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya Mbowe hayakuwa hatarini kwa sababu Mbowe hakuwahi kutabiri kifo cha mtu.Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Imagine muda mbowe aliosota gerezani kwa kesi ya kusingiziwa ya ugaidiIla mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Wamwshasahau, ccm ni empty set kabisaSio mbowe mliyembambikia kesi ya ugaidi??
DU JAMAA MHUN KWELIKWELI ALIKIMBIA MADENI AKASEMA AMEKIMBIA KUOKOA MAISHA YAKE NAFIKIRIKW WALIOKUWA WANAMDAILini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
👇
View attachment 2488095
Unabii uchwara.Nabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
Mjane bado unaomboleza tu? Olewa dhalim harudi tenaLini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095
Vimada wa dhalim mumerundikana kumshambulia Nabii Lemma aliyetabiri kifo cha buzi lenu na kweli likafaGodbless Lema hana sifa hata moja ya mkimbizi wa kisiasa!
Godbless Lema ni mwanasiasa uchwara aliyekimbia madeni!
Rudi nyumbani ukabili madeni yako bwashee!
Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.Mkimbizi wa kisiasa ni Lissu tu. Lema rudi tu dawa ya deni ni kulipa.
Wewe ndio unatishia usalama wake?.Acha ujinga wewe! Lema ni usalama wake!
Yaani hao watu waungane na lema?Walikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.
Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!
Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
Una ushahidi wa hayo madeni? Au umekaririshw na hao machawa wenzako?Godbless Lema hana sifa hata moja ya mkimbizi wa kisiasa!
Godbless Lema ni mwanasiasa uchwara aliyekimbia madeni!
Rudi nyumbani ukabili madeni yako bwashee!
Lakini japo lissu ana excuse sasa hiyo njemba imejituliza north pole ka panda haioni hata aibu. Hivi ingeshinda ubinge ingeenda kula poz huko ?Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.
Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Nabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,Duh! Ila kifo si kila mtu atakufa inajulikana hivyo sasa hapo kipi cha kuitwa utabiri? Labda angesema atakufa vp.
Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,Unabii Alioutoa Alikua Anajua Movie yote Ambayo ilikua imepangwa juu ya Rais wetu Magufuli.
Hawa na chama Chao wanajua kila kitu ndio maana wao ndio walikua wakwanza kutoa taharifa za Magufuli kufa.
Mungu fundi sana!!Na nchi ikapona kuondokewa na dikteta bila kumwagika damu hata tone moja
Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Unaheshima kubwa hapa, ila some times mambo yako yanatupa tukudharau""Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Kwani we Lema unamchukuliaje? Au Mbowe unamchukuliaje?Yaani hao watu waungane na lema?
Hawa uwezo wa kujiunga eti wamuue rais wa nchiKwani we Lema unamchukuliaje? Au Mbowe unamchukuliaje?