Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Ila mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Maisha ya Mbowe hayakuwa hatarini kwa sababu Mbowe hakuwahi kutabiri kifo cha mtu.
 
Nabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
Unabii uchwara.
Duniani kuna kitukimoja tu ambacho kina guarantee, nacho ni kifo.
Sasa kwanini kutabiri kitu ambacho kilamtu anajua kwamba kwa namna yoyote nilazima kitokee kwa kila kiumbe chenye uhai.
Angalau angebet mpira tungemuona anaakili kwasababu angekuwa anatabiri kitu cheye matokeo zaidi ya moja.
 
Mkimbizi wa kisiasa ni Lissu tu. Lema rudi tu dawa ya deni ni kulipa.
Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.

Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
 
Walikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.

Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!

Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
Yaani hao watu waungane na lema?
 
Hata huyo Lisu hana ukimbizi wowote wa kisiasa, alikuja kugombea urais alivyo shindwa akaondoka mwenyewe kwa hiyariyake.

Kungekuwa na tishio lolote la kweli kwake asingerudi hapa kuzurura nchi nzima 24/7.
Hawawatu ni wanasiasa wamatukiotu wanajaribu kukuza mambo ili wapate kiki tu.
Lakini japo lissu ana excuse sasa hiyo njemba imejituliza north pole ka panda haioni hata aibu. Hivi ingeshinda ubinge ingeenda kula poz huko ?
 
Unabii Alioutoa Alikua Anajua Movie yote Ambayo ilikua imepangwa juu ya Rais wetu Magufuli.

Hawa na chama Chao wanajua kila kitu ndio maana wao ndio walikua wakwanza kutoa taharifa za Magufuli kufa.
Nabii Lema alitabiri kwamba Magufuli atakufa na akafa kweli , Unabii wake umetimia
 
Duh! Ila kifo si kila mtu atakufa inajulikana hivyo sasa hapo kipi cha kuitwa utabiri? Labda angesema atakufa vp.
Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,

Katili pumzi ya mwisho akaivuta, hatimaye akaenda kuwa kiongozi wa mashetani!!
 
Unabii Alioutoa Alikua Anajua Movie yote Ambayo ilikua imepangwa juu ya Rais wetu Magufuli.

Hawa na chama Chao wanajua kila kitu ndio maana wao ndio walikua wakwanza kutoa taharifa za Magufuli kufa.
Alitabiri atafia madarakani kwa uonevu wa kukatilii uhai wa wengine!! Na Mungu akamchomoa roho kweli,

Katili pumzi ya mwisho akaivuta, hatimaye akaenda kuwa kiongozi wa mashetani!!
 
Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Unaheshima kubwa hapa, ila some times mambo yako yanatupa tukudharau""

Jaribu kuuvaa utu wako halafu uchangie

Mh Lema ni kweli alitabiri hivyo, utabiri wake uliishia 2019 December, maana alisema hataumaliza mwaka huo, na kipindi hiko Lema alikuwa ni mbunge,

Sasa ukweli ni upi mkuu, halafu, ni lini na wewe ukaanza kufurahia adui yako afe badala ya kumwombe aish ili auone utukufu wa Mungu wako unapoinuliwa?

Mambo ya Kisasi ni juu ya Mungu, mwanadamu ukilipa kisasi unakuwa nje ya utaratibu wa Mungu" na yeyote alipaye kisasi badala ya Mungu kulipa kisasi huyo si wa Mungu' bila ya shaka wewe ni mjuvi wa Vitabu
 
Back
Top Bottom