mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Lema alisema mwendazake atakufa. Sasa yukowapi? Hivyo Lema anamaono kuliko wewe mpuuzi wa lumumba.Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
Asipokusikia hapa asije kumlaumu mtuMnaowazarau, watu KWA mtazamo wa nyama na sio kiroho, mtabeza,ila sie wa kiroho zaidi,japo sio wachungaji, hatuna makanisa tunaelewa mungu asivyo na upendeleo katika kumtumia kila aliye mpa pumzi, Ndugai usipuuze Hili, asema bwana
Ndugai bila mbeleko ya Magufuli si chochote.Aendelee na kiburi chake
Angekua na maono angeona mbele na kukazana kusoma, lakini dishi lilicheza na signal zikawa weak akapata aliyopata. Mpaka sasa alitakiwa ashukuru serikali ya CCM kwa kuruhusu darasa la saba wawe wabunge.Lema alisema mwendazake atakufa. Sasa yukowapi? Hivyo Lema anamaono kuliko wewe mpuuzi wa lumumba.
Nikutoe wasi wasi tu, hyo siku haikuwepo na haitakuwepo.Ipo siku utakuja kuona aibu kwa hii comment yako!
Ngoja nimeku quote maksudi ili usije ku Edit hii comment ako..
Dooh kweli ana maonoDiv. Four 29, alifaulu kiswahili na civic education.
sikio la kufa haliskii dawa,
Lijua likali alishasema " ni bora abaki masikini kuliko kutumika pale CDM" yaliyokua yanaendelea pale CHADEMA ni dhuluma. Mwenyekiti ni dhulumati, ndio maana hataki kuondoka pale kitiniTuambie lijua likali yupo wapi?
Anatumikia adhabu take kwa makosa haya
1. Kuvuta mibange
2. Kuwasaliti wapenda mabadiriko
3. Kushirikiana na ccm kuudanganya umma kwa
Kusingizia watu dhambi wasiyofanya( kushuhudia uwongo)
Ccm wabaya sana,
Uchunguzi wa Takukuru uliuona ?Lijua likali alishasema " ni bora abaki masikini kuliko kutumika pale CDM" yaliyokua yanaendelea pale CHADEMA ni dhuluma. Mwenyekiti ni dhulumati, ndio maana hataki kuondoka pale kitini
Cv yangu si muhimu hapa. Ila Lema ni mpumbavu, mwenye chuki, na fisadi aliyejificha upinzani. Kitendo cha kua mbunge kisikutishe , kigezo ni kujua kusoma na kuandika basi.Weka hapa cv yako tuione mkuu. Btw, ujue Lema ni mhesjimiwa mbunge wa mioyo ya wapiga kura wa Arusha mjini kwa miaka 10.
Mimi ni Nyumbu mkuu nna kado ya CHADEMA, ila mwenyekiti wetu ni dhulumati tisiseme uongoTAGA katika ubora wako, unapuyanga tu.
Nginjanginja mpka mirembe.
N'way sawa kaa na imani ako mkuu tumuombe Mungu..Nikutoe wasi wasi tu, hyo siku haikuwepo na haitakuwepo.
CAG report imeonesha kuna matumizi ya pesa yasiofuata taratibu. Hata hili hujasikia mkuu?Uchunguzi wa Takukuru uliuona ?
Inaelekea umekariri tu kuhusu kutubu lakini huijui kanuni ya kutubu. Ngoja nikupe somo kidogo:Kwani ulitaka atubu mbele ya Camera naww ukiona live? Au siku hizi kutubu ni fasion mpaka kila mtu ajue? Jaribu kufikiri kabla ya kuandika vitu visivyoeleweka...
Mimi naww hatujui kama alitubu au laah, sabu kutubu ni siri kati ya nafsi ya mtu na muumba wetu! Hivyo kukaa kimya ni jibu zuri...
Naona wewe ndio una changanya kutubu na kuomba radhi/msamaha...Inaelekea umekariri tu kuhusu kutubu lakini huijui kanuni ya kutubu. Ngoja nikupe somo kidogo:
Ukitenda dhambi ya rohoni, unatubu rohoni (peke yako) na Mungu wako
Ukitenda dhambi kwa mtu mmoja, unatubu mbele ya huyo mtu mmoja
Ukitenda dhambi mbele ya watu wengi, unatubu mbele ya watu wengi.
Nadhani sasa unaweza kuamua vizuri wapi unatakiwa kwenda kutubu.