Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Arudishwe ili akaibe hela BOT ?
 
Hiyo post nimeweka kwenye wrong thread.

Bashiru harudi kuwa katibu mkuu kudhibiti watu design ya Nape ambao wanaanza kuota mabawa mapema kwa kauli za mvurugano.
Kwanini usianzishe uzi wa jambo hilo ili upime upepo ukoje !
 
Tafuta fundi dish akurekebishie dish lako liko upande budy
 
Hivi yeye dhambi ya ujambazi na wizi wa magari aliitubu lini?
Mnawabambikizia watu kesi hata wasio na hatia, mngeshindwaje kumkamata Lema, kama ni jambazi?

CCM walivyo na roho mbaya, uwe upinzani halafu uwe mhalifu, halafu wasikukamate, utakuwa ni muujiza ambao haujawahi kutokea.
 
Kuna Mitanzania mnatia kichefuchefu kwa mawazo mfu.
Unaongea upumbavu hapa. Haiwezekani Spika Ndugai afanye uhuni wa kuwaingiza Covid-19 Bungeni kwa mlango wa nyuma kwa kukiuka Katiba na Sheria halafu aseme CHADEMA waende Mahakamani!! HIVI HUKO MAHAKAMANI KUNA SHERIA INAYO RUHUSU MBUNGE ASIYE NA CHAMA KUINGIA BUNGENI?????????

Kama hujui huo ujinga umeshaondoka na Mwendazake JPM. Huo ulikuwa mkakati wa JPM na NDUGAI kuwakomoa CHADEMA. Walikuwa wanapindisha Katiba na Sheria wakiwa na uhakika kuwa hata CHADEMA na Wapinzani wakienda Mahakamani watatumia UBABE kuiamuru Mahakama itoe hukumu kinyume cha Sheria kumfurahisha JPM na kuwaumiza CHADEMA.

Mama SSH ametangaza rasmi hataki huo ujinga. Ndiyo maana wakati Tundu Lissu alipolazwa Nairobi SSH alikwenda kumsalimia TAL....!!! Chama ni kimoja but SSH na JPM ni watu wawili tafauti!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…