Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Punguza jazba, hakuna mbunge wa viti maalum anaweza kua mbunge pasipo chama cha siasa. Ikiwa mnadani akina halima Mdee sio wanachama wenu, nendeni mkathibitishe mahakamani. Maana wao walikata rufaa kupinga kufukuzwa uanachama. Pili, huna uthibitisho kua Ndugai na huyo 'mwendazake' walipanga njama kuvunja katiba ya nchi.
 
Acha vitisho! VITHIBITISHO VIPO TENA ZAIDI YA SANA
 

Total political bankruptcy and utter nonsense!

Mungu hana ubia na mwanadamu yeyote; Mungu hufanya mambo yake kwa namna apendayo Yeye na kwa kufuata schedule yake. Maalim Seif na wapinzani wengine ambao Mungu aliwatwaa walishupaza shingo gani? Mtu anakalia kuomba sala za kizembe mpaka anaishia kukimbia nchi yake!
 
Wewe endelea na ubishi wako , huyo Mungu unayemtaja hapa kaleta maandiko yenye maono kwa wabishi kama wewe

Warumi 6:23
 
Uyu nabii mvuta bangi inamana alivyo kua anawatapel watu alifikiria nin yeye akae uko uko uamishoni akil imuingie kichwan kua uongo sio Dil
Sikilizia unabii utatimii soon .

Ndio utaju kuwa hujui .

Ndugai ameshikiriki udhalimu mwingi Sana kwenye hii nchi na bado anajiona mwamba hakika atapasulia soon iwe kwa tindo ,au baruti
 
Nyakati za mwisho wataibuka manabii wa uwongo na watafanya miujiza ila tumeambiwa tusiwaamini sasa huyu aliyekuwa mwizi wa magari siku hizi amekuwa nabii wa kuwatabiria wenzake vifo kama yeye kifo hakimhusu halafu wanaemshabikia ni wahuni wavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…