Naweza kusema na mimi amenituma niseme wanaosema ni waongo.... Haya mambo ukiyafuatilia utaona kwamba kuna ka utapeli ndani yake...; Sababu kama amewachagua wao kwanini asinichague mimi, after all nina uhakika mengi aliyosema hayajatokea kuliko yaliyotokeaHivi wewe unampangiaye mwenye ujumbe jinsi ya kuufikisha ujumbe wake? Kama unataka afanye unavyotaka, basi kuwa yeye ili ufanye utakavyo. Sijui unaelewa hata?
Mbona wazungu wakiongea kiswahili japo kibovu mnawasifia, kiingreza ni lugha la washenzi tu wakoloni.Si muwe mnaandika kwa kiswahili mnachokimudu kuliko kuandika huu ushuzi unaofanana na kiingereza?
Tumeonya sana humu lakini tulipuuzwa, sasa wasubiri balaa zaidi
😆😆😆😆kuna nini lakini mkuu.
wekeni hadharani
JF sio kwa Ras Simba.Mwache ajifunze Kiingereza, mkuu. Ukiona amekosea, basi unamkosoa ili ajifunze. Hakuna mtu ajuaye kila kitu - na kila mtu daima anajifunza.
Acha kunililia mimi sio babako.Mbona wazungu wakiongea kiswahili japo kibovu mnawasifia, kiingreza ni lugha la washenzi tu la wakoloni.
Mzee Pascal Mayalla anauita 'trend analysis' sio unabii....😂😂😂Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Tulia shangazi.Acha kunililia mimi sio babako.
Kwani umekosea mantiki, mkuu? JF ni JF. Kila wazo linakubalika. Mtu hawezi kuacha kujifunza, kisa tu anakuogopa wewe. Come on!JF sio kwa Ras Simba.
Mkuu, wewe ni nafsi yenye watu wawili, ama?Naweza kusema na mimi amenituma niseme wanaosema ni waongo.... Haya mambo ukiyafuatilia utaona kwamba kuna ka utapeli ndani yake...; Sababu kama amewachagua wao kwanini asinichague mimi, after all nina uhakika mengi aliyosema hayajatokea kuliko yaliyotokea
Unanibishia mimi?Kwani umekosea mantiki, mkuu? JF ni JF. Kila wazo linakubalika. Mtu hawezi kuacha kujifunza, kisa tu anakuogopa wewe. Come on!
Halafu, usiseme: JF sio kwa Ras Simba. Sema: JF siyo kwa Ras Simba.
Kiswahili naona kinakupinga chenga kukumbwa. Wakati ujao, jaribu sana kutumia Inglishi, labda tutakuelewa.
Mkuu, siwezi kubishana na wewe. Nakufundisha. Hapo upo?Unanibishia mimi?
Huyo ni mpiga ramli tu, kwa shughuli zake alizikuwa akizifanya zamani bado anayo database ya wataalamu lukuki.Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Endelea kuokota na kuuza koosho. Hiyo kwako inakutoshaMnatutisha tulio huku Nanjirinji
Nabii uchwara mbona alishindwa kutabiri ujio wa lowassa 2015?Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Hata mimi nimemshangaa sana huyu Mtanzania mwenzetu kwa mawazo ya namna hiyo.Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza vipi Muunga mkono mtu kama Lema na kusikiliza maneno yake?Huyo mwizi wa magari? We kwl nyumbu