Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Nabii uchwara mbona alishindwa kutabiri ujio wa lowassa 2015?
Nimemshangaa sana huyu ndugu kwa kutuletea habari za lema watu wenye akili zetu timamu uanze kutuambia habari za ndoto.Labda mleta andiko yeye ndiye kaandika andiko lake baada ya kutoka usingizini au akiwa na usingizi
 
Kifo Sio utabiri wa maana sana maana Kila mtu atakufa 100%
Umenena ukweli kabisa.na ndicho nami nilichomjibu mleta andiko.kinachomsumbua mleta mada inaonyesha amekuwa na chuki kubwa sana na awamu hii.ukitaka kujua hilo fuatilia post na maandiko yake ya wakati wa utawala wa awamu ya Tano.
 
Nimemshangaa sana huyu ndugu kwa kutuletea habari za lema watu wenye akili zetu timamu uanze kutuambia habari za ndoto.Labda mleta andiko yeye ndiye kaandika andiko lake baada ya kutoka usingizini au akiwa na usingizi
Hivi unadhani akili timamu ni Kama uongo kuwa kila sehemu upo?
 
Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025πŸ€”πŸ₯Ί
 

Akitumia akili yako vizuri waweza predict mambo yatakayotokea Tanzania
 
I
Lema huzungumza fact za maisha na wala sio utabiri. Tatizo wengi wetu tunapuuza sana fact za maisha.
Iko vile bandugu !
Ila watu wengi hawatakuelewa kwa sababu wao hawana hizo Akili zenye uwezo wa kuchanganya two and two together ili kujuwa what is going to happen next !😳!

Ni wachache wenye Akili kama hizo !
Including me πŸ˜³πŸ™„ !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…