Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Kuna tofauti kati ya utabiri na Unabii. Watabiri wanatumia nyota na nguvu zingine za giza lakini Unabii unatoka kwa Mungu au ni tamko la mtu wa Mungu aliyejaa Roho Mtakatifu. Godbles Lema ameokoka na anapotamka mambo anatamka akimaanisha. Ana wito wa kutetea Haki ktk nchi na wanaitaka kumhijuma watapata tabu. Yeyote aliye na Kristo na kujaa nguvu za Roho anaweza kutamka mambo na yakawa. Lakini pia kuna manabii ambao wameitwa na Mungu kuwa manabii. Hawa wanafundisha Neno la Mungu la wakati. Yaani ujumbe wao wakiusema baada ya muda tunaanza kuona yakitokea!
 
Mbona Ndugai yupo anadunda na alisema hawezi ishi?Lema mchumia tumbo amna cha Nabii angelikuwa Nabii chadema isingelikuwa hoi hivi.
Itaacha kuwa hoi Wakati Kila siku mnawateka na kuwaua watu wake!? Unafikiri wananchi wanaotaka kujiunga nao hawataogopa!? Acheni kushangilia ushetani nyie ma_qumer
 
Wewe si Ndio unaganyaga hizo kazi za kutoa uhai wa watu, umeshapewa oda ya kmaliza Lema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…