Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kwani ni mbunge mbona yupo
 
Shida ni kutojua unachoandika.
Haya mambo ya wizi yanatoka wapi yaani unasifia wauaji kuwa Arusha.
Wana Arusha wanajitambua hawako tayari kwa mauaji. Una maanisha Mheshimiwa anasapoti wauaji si ni ndio.
 

Yaani hayo majambazi mauaji ndiyo yamsumbue Lema? Hayo majambazi, hata siku moja siyo tishio kwa lolote, isipokuwa yanapokuwa na mtu wa kusimama nayo kwenye uharamia wao.

Japo Rais Samia ana mapungufu yake, lakini siyo kwa kiwango cha kuweza kukubaliana na ushetani wa hao watu wa kuteka, kuua na kuwapoteza watu.

Kazi imerahisishwa. Ni aheri angekuwa amepelekwa mtu mwenye historia nzuri angeweza kumpa kazi ngumu lema. Jambazi linalojulikana na kila mtu, inakuwa ni rahisi zaidi.
 
Chadema mtamuua ama?

Kuua ni kazi ya hilo shetani lililokiwa linateka na kupoteza mada. Anamaanisha ataondolewa Arusha kama alivyoondolewa kwenye uenezi. Mambo ya kuua watu, yanafanywa na hilo shetani na genge lake. Watu hawatakubali akaendeleze huo uhayawani wake Arusha.
 
Si mlisema amemalizwa na Gwajima? Imekuwaje tena anateuliwa tu kila kukicha?

Biashara ya wizi wa magari imeota mbawa Arusha ,tafuteni kazi nyingine
 
Makonda ni raisi wa tanzania baada ya miaka kadha mbele
 
Hivi huyo Lema amewahi kuogopa kiongozi yupi hapa Tanzania zaidi ya mwendazake ambaye hatuko naye?Lema ni kati ya viongozi wachache wa Chadema ambao wana ujasiri wa kumkabiri kiongozi yeyote mkorofi kwa courage ya hali ya juu without hesitation

Tena Lema alipelekwa jela, akakaa huko. Walipotaka kumtoa akawakatalia. Akawaambia kama wanadhani wanaweza kumziba mdomo kwa kumtishia jela, yeye ameamua kuishi jela.

Ikabidi jeshi la polisi limpeleke Siro kumbembeleza Lema akubali kutoka jela. Yule bwana ni jasiri sana, siyo mtu wa mchezo. Na hata alipotoka hakubadili kauli yake, akazidi kusisitiza kuwa Hayati kama asingebadilika na kutenda haki, siku zake zisingevuka 2021.
 
Wewe kweli akili huna. Gambo alishinda au alitangazwa?
Na ushindi wa madiwani wa ccm kwenye uchaguzi wa juzi kwenye kata zote ni wameshinda au wametangazwa?
 
Na kilichomfanya akimbilie kuolewa Canada ni nini kama siyo uoga tu
 
Na ushindi wa madiwani wa ccm kwenye uchaguzi wa juzi kwenye kata zote ni wameshinda au wametangazwa?

Waulize ACT watakuambia, maana hao ndio walishiriki huo uchaguzi.
 
CCM hawajawahi kuwaza maendeleo, kila wakati akili zao ni kuiba uchaguzi tu, ukiwa na Wapumbavu kama hawa usitarajie taifa la watu wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…