Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Popote pale Magufuli atakanyaga mambo yatadhibitiwa.

Huu upumbavu wakutumia fedha za walipakodi behind the seen kulipia hizi Fujo ili kuwahujumu Chadema ni matumizi mabaya kabisa ya pesa zetu.
 
Lema kwa Gambo ni mwepesi sana,Chadema ya sasa ni chama cha malalamiko sio sera na ushawishi kwa wananchi.
 
Dar Jana kulikuwa na Yanga day lakini Lissu alifanya kampeni kama kawaida.Kwenye kampeni hatuhitaji watazamaji tu kama miaka mingine tunataka anayeenda kwenye kampeni awe mpiga kura kweli hao wa matamasha waache waende
 
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.

Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.

Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.

My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?

Maendeleo hayana vyama!
Hii ni rushwa sawa na kugawa pilau bure.
 
Hata wewe umeona umuhimu wa habari hiyo ndiyo maana ukaiandika hapa
MY take: Hizi pesa wanazotumia CCM zinatoka wapi? Na kwa nini? Si wanasema hawamwogopi Lissu?? Mwanza, Mbeya, Iringa, wtapeleka Yanga na Simba??
 
Ama kweli Chadema wamechanganyikiwa, kwa hiyo team iache kucheza kupisha wanasiasa?

Simba Ni club ya Mpira na jukumu lake la msingi Ni kucheza Mpira, mbona Jana Yanga walikuwa na tamasha hawajalalamika?
 
Mbowe na Mdee ni Yanga bwashee!
 
Hata dar hizi wiki za yanga na simba zimevuruga mahudhurio,ilibidi cdm wa foresee,,hawakutakiwa kuwa na haraka,,cheki Act wanVyonyatia,,,lazima uwe mjanja😆😆
 
Na kweli hi mechi imeshtukizwa tu, sijui kama ilikuwa kwenye plan.
 
Hata dar hizi wiki za yanga na simba zimevuruga mahudhurio,ilibidi cdm wa foresee,,hawakutakiwa kuwa na haraka,,cheki Act wanVyonyatia,,,lazima uwe mjanja😆😆
Lisu ana hamu na kampeni za urais!
 
CCM akili sifuri wamesema tuna ndege 11 na wataongeza ndege 5, CCM wana laana, watu hawana maji safi wao wanatuletea upuuzi.
Upuuzi kwako,.wengine tunapanda hizo ndege. Kimsingi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake...!
 
Back
Top Bottom