Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
godbless Lema ni kweli anafaa zaidi kuwa katibu mkuu wa chadema. lakini tundu lisu ahakikishe anambakisha kwenye sekretarieti yake bw. john mnyika, asimuache aende zake. ni mtu muhimu sana katika kumsaidia tundu lisu. kama atamteua godbless Lema kuwa katibu mkuu basi amtafutie nafasi yoyote ile bw. john mnyika ili awe karibu yake.
 
lema awe katibu mkuu , naunga mkono kwa asilimia 100, tunataka ccm tuwafunge ka mdomo
 
Hapo hakuna ubishi
 
sawa, isipokuwa asimuache john mnyika, bado anahitajika sana kwenye menejimenti ya chama hicho. amteue katika nafasi yoyote ile hapo Makao makuu
 
Maswali mazuri kwa wanaojitia ufahamu
 
Uongozi hauna uiano wa ki dini
 
aachane na visasi dhidi ya watu waliokuwa wakimpinga ndani ya chama hicho, lisu aungane na hao watu ili kukijenga chama. aachane kabisa na Mawazo ya kuwatafufia tuhuma au makosa wapinzani wake.
Ifanywe kama mfano na wajifunze kuweka maneno ya akiba
 
Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Mwenyekiti ana mamlaka ya kuteua Sekretarieti ya chama.
Nadhani atayatumia mamlaka yake hayo kikatiba kututeulia watu wasio na makandokando kama yale ya covid 19
 
Lisu asimsahau sumu ya nyigu au mdude nyagali kwenye teuzi zake jamaa kakipambania sn chama,

Atafute kitengo ampe mwamba apige kazi

Embu fikiria hiyo collabo ya lisu, heche, lema sumu ya nyigu bila kumsahau hilda newton
 
Itapendeza sana kama lisu akigombea urais na kuchukua Nchi 2025 ili kunyoosha mambo maovu waliyoyaasisi ccm hasa wanaoitwa wasiojulikana waliowateka soka,chakula,sativa n.k.wasiojulikana wajipange maana watajulikana mbele ya umati wa umma na kuwajibishwa Kwa maovu Yao.
 
Yaani siku Lema anakuwa Katibu Mkuu ndio mwanzo wa kifo cha CDM.Hakuna mtu mhuni na mpumbavu kama Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…