Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Ambaye hayupo na lake halipo.
 
Ninamfananisha Chalamila na mchungaji Al Sharpton, huyu bwana alimlaumu Tiger Woods kuwa na affairs na white women na kuwalipa compassions. Angekua na affairs na black women hii hela ingewainua. Yaani anaongea bila kujali madhara ya kauli yake. I
 
Si ajabu Lema anatumika na wanaotaka umakamu.Lakini ni ajabu kabisa kwamba akina Lema leo wanaishauri CCM.Juzi tu Zito kasema alitoa mchango mkubwa kwa kushinikiza Samia akabidhiwe urais baada ya kubaini kuna njama kufanya kinyume cha katiba.
Uongo wa namna hii haukubaliki kabisa.Yaani CCM ifanye maamuzi kwa shinikizo la Zito!!!
 
Mnafki ni yule aliekimbia madeni kisha akasingizia anataka kuuwawa.
Hujui maana ya unafiki kukimbia deni sio unafiki, unafiki (hypocrisy), mnafiki ni mtu anayejua kabisa hili jambo sio sahihi lina madhara lkn bado analifanya, kutenda jambo kinyume na dhamiri ya moyo wako, ref. Kabudi, Bashiru, Polepole.
 
"" elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango"""ahaaaa
 
Ila CHADEMA! Kuizungumzia Serikali haitoshi sasa mnaanza kutaka kuwapangia na Chama kingine
 
Hujui maana ya unafiki kukimbia deni sio unafiki, unafiki (hypocrisy), mnafiki ni mtu anayejua kabisa hili jambo sio sahihi lina madhara lkn bado analifanya, kutenda jambo kinyume na dhamiri ya moyo wako, ref. Kabudi, Bashiru, Polepole.
Akuna mnafki mkubwa kumzidi Lema,aitambui serikali lakini anakiherehere cha kujifanya anaishauri.
Huu ni unafki wa kiwango cha Covid-19.
 
Lema akili kubwa, bahati mbaya sana tunapelekewa wanaoweza kupiga push ups nyingi mbele ya hadhara
 
Hata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
wewe sasa hujui
huyu jamaa ni mtendaj haswa.hiv unajua ukitaka kuwa na sifa kubwa ya Jpm ni kufuatilia kila kitu na kupata taarifa ya kila jambo na kuamua hapo hapo hakuna cha michakatoo michakatooo tunachakataaaa sijui fisibiliti stadi sijui nini,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ni Magufuli ndie aliyemdanganya atuambie kuwa Bia mbili zinatibu corona
 
Nakubaliana na wewe kuwa utawala haujabadilika kwa sababu instruments of power (polisi, mahakama, diplomacy, uchumi, nk) alizokuwa anatumia Magufuli bado ni zile zile, pamoja na nia nzuri ya mama kuhubiri maridhiano lkn atapata tabu sana kupambana na mfumo.
 
Rc mbeya na aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini nan bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…