MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mtoto gani wa kiongozi wako CCM anaendesha bodaboda ....Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Laana kubwa mnoNi muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Hayo ni mawazo yake, ni haki yake pia. Nawe weka mawazo yako ili muende sawa.Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Hakika ni msimamo tena thabiti...hata wa kwangu hawawezi kuendesha tukutuku! Hebu atuambie ni mtoto wa kigogo gani huko ccm au mwana ccm mwenye kujitambua kidogo ambaye mwanaye ni boda!Huo ni msimomo wake kwahiyo hata wewe unavyowasujudia Ccm na huyo bibi yako huo pia ni msimamo wako na mimi pia, kuna kazi kama ya bodaboda siwezi kuifanya huo ni msimamo wangu
Wewe kwa ajili yako unaona bodaboda na bajaji ni kazi za kufanya?kuna mtoto wa waziri, mkurugenzi, meneja wa kampuni fulani yuko kwenye hiyo biashara?Lema yuko sahihi labda hujamwelewa vizuri.kila aina ya uharifu unaoujua boda wapi sasa hiyo ni biashara.Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake.
Hii CHADEMA ya sasa inapaswa kupelekwa darasani kwenye chuo cha CCM Kibaha ili kujifunza namna sahihi ya kufanya siasa na sio huu ujinga wanaoufanya kwa sasa.
View: https://www.instagram.com/reel/DeuEdn9IR1q/?vrfl=N2lhaHoyNHRkb3Q0
Msimamo wa chama hua anatoa nani, au huyo CHAMA NI CLATOUS?Msimamo wa mtu huwa sio wa chama
🚮Chadema wanaitwa NYUMBU unafikiri ni kwa bahati