Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

Mbona kauli ya lema haipo nikisiasa na inamaana nzuri sana?

Hii ni kweli kabisa,
 
..usafiri wa umma unapaswa kuwa wa kujitosheleza ili wananchi waachane na bodaboda.

..pia serikali inapaswa kuweka mazingira ili ajira za kutosha za kudumu, na zilizo na mafao, zizalishwe, ili vijana wasilazimike kubangaiza kwa kuendesha bodaboda.
Ndugu yangu kwa hii TZ sahau Hilo
 
Unadhani kuna mzazi anakifurahi mtoto wake kufànya kazi ya kiwango duni? Unadhani bodaboda ni chaguo la kwanza la vijana wa kitanzania?

Ni basi tu ila sio kazi ya kumpa mwanao, hatuna options, bahati mbaya tukiambiwa ukweli tunakuwa wakali.
Ukweli mchungu huu na inabidi tukubali,lakini kwa sababu sisi wamatumbi maisha bila unafiki hayaendi,tunaona Lema kakosea kusema hivyo.
 
Wewe takataka ni laana
 
Tatizo na nyie waandika proposal mkishapewa hizo pesa ghafla tunawaona Hyatt mkipost picha na kuandika "small girl, big God".... hiyo miradi yenu inaishia kwenye makaratasi. Huu ubinafsi umekithiri.
 
..kuna mbunge mmoja wa Ccm alichinja ng'ombe 500 wananchi wakala nyama. Yaani hata hakujisumbua kufikiria kugawia kaya masikini ng'ombe wa maziwa wafuge.
Kugawia kaya maskini Ng'ombe ni kupoteza zaidi. Hizo ng'ombe wapewe watu ambao tayari wameanza kupambana kufuga ili wakue zaidi. Kaya maskini wataishia kuwala hao ng'ombe au kuwauza.
 
Tatizo na nyie waandika proposal mkishapewa hizo pesa ghafla tunawaona Hyatt mkipost picha na kuandika "small girl, big God".... hiyo miradi yenu inaishia kwenye makaratasi. Huu ubinafsi umekithiri.
Out of 10 startup ambazo zinafanya Kazi vzr huwezi kosa kampuni yangu nadhani watu ambao wapo kwenye startup ecosystem wanaweza kubaliana na Mimi, shida ni hao walioharibu WA mwanzo Ndo wametuharibia na sisi lakini mbona bado NGO zinatuamini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…