Mkuu ebu jaribu kuwa na mawazo progressive. Kama mtu hakubaliani na mawazo yako ukimtenga ndio atakubaliana?!Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Qmmako nyoko weKwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
Huo ndio ukweli mweupe kabisa,hofu aliyokuwa ameipanda Magufuli miongoni mwa watanzania haina tofauti na hofu iliyopandwa na kuachwa na biashara ya utumwa kwa waafrika. Kuna watendaji serikalini wanadhani bado Magufuli anatawala kwa jinsi alivyokuwa amewavuruga.Jenerali Ulimwengu alisema hivi karibuni kuwa Taifa hili limekuwa la watu waoga/ hofu. Itachukua miaka kadhaa hofu aliyoiweka alietangulia kutoweka.
Hiyo ni ishara mbaya, wasidanganyike, wapo waliomazoezini Ili ikitokea wasikose lengo Kwa mara ya pili na yatatu🤔.Halafu kuna watu wanataka Lema na Lissu warudi nchini.
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
Huyu alikimbia Nchi wakati wa Magufuli kwa sababu ya kusalimisha maisha yake. Nami nilimuunga mkono wakati ule kwa kuwa Magufuli ni kweli alitaka kuwaua pamoja na Mbowe na Lissu.Mkuu ebu jaribu kuwa na mawazo progressive. Kama mtu hakubaliani na mawazo yako ukimtenga ndio atakubaliana?!
INAWEZEKANA ukishakuwa mkimbizi wa kisiasa kuna baadhi ya haki/wajibu vinakuondokeaAkili zako hazina akili.. kama umeshindwa kuelewa mkutano balozi na watanzania waishio Canada.. ni heli ubaki tu kuwa chawa.
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
Huyu alikimbia Nchi wakati wa Magufuli kwa sababu ya kusalimisha maisha yake. Nami nilimuunga mkono wakati ule kwa kuwa Magufuli ni kweli alitaka kuwaua pamoja na Mbowe na Lissu.
Sasa Magufuli kafariki mwezi Machi. Samia yuko kwenye utawala na hana siasa za kishamba kama Magufuli, kwa nini Godbless Lema asirudi nchini?
Hata Jenerali Ulimwengu naye ni muoga!! Ujasiri wake uko wapi? Huyu si aliufyata kipindi cha Mwendazake miaka yote 5
Mkuu inawezekana huyu mtu ni mmijawapo wa waliokuwa wanafanya hiyo kazi ya kushona hivyo viroba.Utaacha kuwa muoga wakati viloba vya kuwekea mahindi viligeuka kuwekewa miili ya watu wasiofahamika waliuwawaje.
Watu kama hawa Mwalimu aliwapa jina zuri sana.Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5
Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida. 2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...www.jamiiforums.com
Wewe ni kaburu, hata kwa jina linathibitisha Hilo, je acha mawazo ya kikaburu, na mwonekana unageuka kuwa mkoloni mweusi ndani ya tz.Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Lema ni mtanzania anayeishi Canada?Duh! Unaelewa maana ya mkutano wa watanzania waishio Canada?
Mimi sijui nani alitaka kumuua nani ila kama kweli, Je huyo Marehemu alikuwa amdhuru Lema kwa mkono wake au kuna watu wengine walihusishwa? Je hao watu wengine nao wamekufa?!Huyu alikimbia Nchi wakati wa Magufuli kwa sababu ya kusalimisha maisha yake. Nami nilimuunga mkono wakati ule kwa kuwa Magufuli ni kweli alitaka kuwaua pamoja na Mbowe na Lissu.
Sasa Magufuli kafariki mwezi Machi. Samia yuko kwenye utawala na hana siasa za kishamba kama Magufuli, kwa nini Godbless Lema asirudi nchini?
Mtanzania gani anahimiza achangiwe fedha kupitia mitandao ili akashwishi Nchi wahisani zikate misaada?
Yaani Godbless Lema haoni kazi anapofanya Rais SSH? Au tumekariri tu kuwa UPINZANI ni KUPINGA kila kitu?