Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

Na kuna akina na nyie mnaoyatazama maisha hapa nchini na miwani ya vyama.
Mnateseka bure!
Umekengeuka sana.
Unajuaje "sikutoboa"?
Kama ni kuteseka, tunateseka sote. Huwezi kutoteseka kama unaona waTanzania wenzako wanateseka, hata kama mnatofautiana vyama vyenu vya siasa.

Huku kukosa utu kwenu ndiko kunakowafanya waTanzania, bila kujali vyama vyao wajisikie kuteseka.
 
Katishwa na watu tanzania, canada anatishwa na corona..anaishi na mask sasa..
 
Kuna mdau alisema Lema Kule singida ana kesi 22 za kubambikiwa.
Anatoboaje kwa mfano maagizo yakitoka juu.

Acha tu akawe mkimbizi huko mbelembele.(in front front)
 
Hivi kama ikidhibitika kuna uhalifu kaufanya akiwa Tanzania mahakama haiwezi toa amri alejeshwe nchini kukabiliana na mashitaka yake?
 

Huna hoja wewe mlamba Viatu hapo Lumumba.
Tangu lini wewe CCM ukamuonea huruma mtu wa Chadema.

Au unatimiza wajibu Buku 7 iingie.
 
Duh yani huyu kashakuwa Chizi
 
Hivi kwa fikra zako, unadhani ni wewe tu ndiyo umeishi Ulaya? Nchi gani uliishi? Ulaya pia nchi zinatofautiana kama ilivyo Afrika ambako kuna Somalia, South Africa, Botswana, Brundi, n.k.

Mimi nimeishi Canada, Australia, Chile, Ghana, Mali na Liberia. Lakini pia nimetwmbelea mataifa mengi.

Napenda kuishi nchini mwangu lakini kama nchini mwako, maisha yako yapo hatarini, nchi kama Canada, ni mahali sahihi. Ukiacha suala la kuwakosa ndugu na marafiki zako, Canada una nafasi nzuri sana ya kutengeneza maisha yako, na ukayafurahia maisha. Kwanza hawana tatizo la ukosefu wa ajira, na ukiajiriwa mshahara ni mzuri. Canada ni kati ya nchi zenye mishahara Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha! JF raha Sana, nawaza mtu kama Dr. W. Slaa na usomi wake alikuwa anafanya kazi supermarket Sasa huyu mh. Lema si atakuwa shoe shiner au chini ya hapo?
 
Kweli kabisa!!... mtu ambaye hajawahi kutoka nje ya Tanzania na kuishi nchi za watu kwa muda angalau zaidi ya miezi sita hadi mwaka mmoja, anaweza kuja na hoja ya kuwa Lema ameukata!....

Ugumu wa chaguo lake utabakia kuwa siri yake na hatakuja kuleta mrejesho hapa!....

Kama ataweza kuvumilia angalau hata mwaka itakuwa muujiza hasa ukizingatia hadhi aliyokuwa nayo kama mbunge na marupurupu yake, usishangae kumuaona akirudi kimya kimya, vinginevyo atakubaliana na hali halisi na kufa na tai yake shingoni, huo ndio ukweli ambao Diaspora hawako tayari kuukiri.
 
Ukweli mchungu ambao hausemwi na wale walioko ughaibuni.
 
Huna hoja wewe mlamba Viatu hapo Lumumba.
Tangu lini wewe CCM ukamuonea huruma mtu wa Chadema.

Au unatimiza wajibu Buku 7 iingie.
Namuonea huruma kama Mtanzania mwenzangu.
Tatizo nyie ngurumbili mlioishia manzese mwafikiria Kema ameukata!
 
Nchi hii ni paradiso.
Tatizo mnafikiri mna akili zaidi ya wazalendo wa bongo.
Kama mna akili nzuri huko mliko gombeeni urais ili tuwapokee kama marais kutoka huko nje wenye asili toka Tanzania.
Au nzuri zaidi anzisheni biashara kubwa halafu muje kuwekeza hapa bongo, mkitukoga sie malofa.
Kinyume cha hapo kubeba maboksi kunawahusu.
 
Sifa ya uraia kwa Lema na familia yake, imeshaigia dosari. Lissu anayejua sheria hataki kuomba ukimbizi Ubeligiji, ameomba kibali cha makazi tu maana anajua madhara ya kuwa mkimbizi.
Kibali cha mkazi on what basis?
 
mchaga ..uchaga uchaga uchaga..what is uchaga by the way..who the hell are you in Tz..foolish comment ever..we are not entertaining tribalism here in tz..No one should be regarded as superior than the rest, we are all equal..
Mawazo ya kijinga eti Mchaga,mbona tunayo majinga majinga mengi tu hapa mjini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…