Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

Mawazo ya kijinga eti Mchaga,mbona tunayo majinga majinga mengi tu hapa mjini ?
Hayo majinga majinga mko nayo Unguja au huko chamani mnako yajenga?

kwani Lema amependa, yeye kuwa mkimbizi?
Au nanyi mnapenda, na haya ni mashauzi?
achaneni na u nunda, tukae tuchape kazi,
Lissu Lema wamekwenda, wengine wasijekwenda.
 
MATAGA ni Mapsychopath kwa kweli,
Mmemkosa Lema kumuua, mnakosa na raha kabisa.
Lema akili kubwa Mungu amemponya kawapiga chenga ya mwili.
Mmebaki karagwe sasa mnataka kula damu ya baba Askofu. Mlaaniwe MaCCM wote.
 
Nafikili tusimbeze mh lemma,wenda nyuma yake yapo makubwa ambayo hatujui,safari yake TOKA tz to kenya then canada,wenda anayo mazito anayoyajua
 
Future nzuri ? Mbona watoto wa Kambona hawajapata future nzuri ?
 
Kila nchi unao matajiri na maskini, kama unafikiria kila mtu huko Ulaya au Canada ni tajiri wewe bado sana tu. Pole sana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Jitahidi uache bangi kabla haijaingia kwenye ubongo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]huo ndio ukweli mkuu.
Mchaga hazuiliki kufikia ndoto zake.
Ukimwekea vikwazo unampa akili zaidi.
Lema atarudi akiwa mupya kabisa.
Angekuwa mmakonde, mzaramo au mgogo ningemhurumia but mchaga ni Mwisraeli bro
 
Tanzania nzuri kwa watawala tu ndugu
 
Tundu Lissu hahitaji matibabu ya muda mrefu ya kuishi Belgium. Matibabu ya kitu gani yanayomlazimisha kuishi Belgium?


Vilevile Tundu Lissu hana kiasi cha pesa cha kumfanya epewe residence. Mtu anayepewa residence on the basis of kiasi cha pesa ni kwa misingi kuwa atawekeza na kutengeneza ajira. Tundu Lissu hana pesa hizo.
 
MATAGA ni Mapsychopath kwa kweli,
Mmemkosa Lema kumuua, mnakosa na raha kabisa.
Lema akili kubwa Mungu amemponya kawapiga chenga ya mwili.
Mmebaki karagwe sasa mnataka kula damu ya baba Askofu. Mlaaniwe MaCCM wote.
Mkuu hakuna nchi yenye sera za kuua raia wake.
Wakimalizika wataua nani?
Lema angejiwekea utaratibu kuwa siasa si uadui.
Mbona Msigwa ana undugu hata na Rais?
Wanaoua ni wahalifu kama wahalifu wengine, wakipatikana Pilato anawahusu.
 
Hayo majinga majinga mko nayo Unguja au huko chamani mnako yajenga?

kwani Lema amependa, yeye kuwa mkimbizi?
Au nanyi mnapenda, na haya ni mashauzi?
achaneni na u nunda, tukae tuchape kazi,
Lissu Lema wamekwenda, wengine wasijekwenda.

Ukimbizi ametaka,kavuka boda kwa gari,
Hapakuwa na mashaka,wala hakuna ghururi
Kasubiriwa kuvuka,afanye yake jeuri,
Kayakimbia madeni,Mkimbizi siyo lema
 
Theory mbovu uliyonayo canada ata enjoy sana sema alivyowasaliti watu wa Arusha kuwa atawakomboa baadae akaondoka vile sijapenda ata kidogo lakini yeye kama yeye anaenda kuishi maisha ya kifalme
 
Acha uongo. Wataka kusema eti tanzania ni pazuri kuishi kuliko Canada?
 
So, ina maana unataka kusema Lissu kupewa ukimbizi? Wakati mwenye alishasema ana kibali cha kuishi Ubeligiji?
 
mchaga ..uchaga uchaga uchaga..what is uchaga by the way..who the hell are you in Tz..foolish comment ever..we are not entertaining tribalism here in tz..No one should be regarded as superior than the rest, we are all equal..
Ahsante.
 
Ukimbizi ametaka,kavuka boda kwa gari,
Hapakuwa na mashaka,wala hakuna ghururi
Kasubiriwa kuvuka,afanye yake jeuri,
Kayakimbia madeni,Mkimbizi siyo lema
Je Lema si mkimbizi, wewe msajili wao?
mmezidi ubazazi, mwawakimbiza makwao,
kwani ya nini makazi, si bora ya roho zao?
Yu eni hechi si ara, wajua ni mkimbizi!

(UNHCR = "Yu eni hechi si ara" wanayo orodha ya wakimbizi. Jiridhishe Lema hayumo.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…