Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,692
- 4,442
Labda tunatofautiana baba,Baba anakosea, sio mara zote anaweza kuwa sahihi
Baba ni kiumbe duni, hana upendo wote kwani ni mara ngapi katika jamii tumeshuhudia ukatiri wa wazazi kwa watoto?
Mfano wako wa baba hauna nguvu katika kutetea hoja kuhusu Mungu muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote
Kukasirishwa. Mungu akasirishwe na sisi!?Ni kweli hakuna mfano zaidi ya huo kwasababu hakuna namna utaelezea swala la kitu chenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kikasirishwe na matendo yanayofanywa na kiumbe ambacho kipo chini ya uwezo wake bila contradiction
Kwa sifa hizo unamtofautishaje na Mungu?Labda tunatofautiana baba,
Binafsi nililelewa na baba aliyekuwa na upendo wote [kulingana na mimi], alikuwa na ujuzi wote [ukilinganisha na utoto na ujinga wangu] na uwezo wote. So nimekua nikiwa na mfano bora. Hata kama angeweza kuninunulia pipi kila siku hakufanya hivyo na nilimuamini kwamba anajua chema zaidi kwangu.
Kama wewe unayo mifano ya ukatili tu wa wazazi basi usihangaike kubisha hapa watafute wanasaikolojia wakusaidie.
Kuna kitu kimoja cha ajabu kwa watu wazima, ukiona unaelimika na kufurahia elimu mpya, ujue hata sio mpya kweli. Ni kitu ulikuwa unachontangu mwanzo sema tu kuna jamaa kaamua kukiweka katika maneno.Uzi mzuri ngoja niendele kuelimika
Unaupenda uroboti, na unautetea kwa nguvu zote.Baba yako alikuwa anauwezo wote alishindwa kufanya namna itayokufanya ufanye kile ambacho yeye kinampendeza na wewe vile vile kinakupendeza?
Kumbukumbu la torati 9:8Kukasirishwa. Mungu akasirishwe na sisi!?
Watu waliosoma tu wa hapahapa duniani wakaelewa jamii, uhalisia na saikolojia za watu ni ngumu kukasirishwa na wajingawajinga sasa leo ije kwa Mungu mwenye elimu yote umkasirishe wewe?
Elewa mambo ya relativity utatatua mambo mengi, nilisema alikuwa na uwezo wote na ujuzi wote na uwezo wote kulingana na nafasi yangu ya utoto niliyokuwa nayo.Yani umefika point unatumia hadi hoja ambazo zina contradiction ili tu kumfanya Mungu awepo?
Baba yako alikuwa anauwezo wote alishindwa kufanya namna itayokufanya ufanye kile ambacho yeye kinampendeza na wewe vile vile kinakupendeza?
Peponi kuna uroboti?Unaupenda uroboti, na unautetea kwa nguvu zote.
Ukweli ni kwamba hiyo sio njia bora zaidi ya kuyaishi maisha. Uwe na uwezo ama la.
Kama una nguvu sana hebu watie nguvu marafiki zako ili wote muwe na nguvu ndio utaona raha yao na yako maradufu. Kutengeneza chawa na kupenda uchawa vyote ni dalili ya kutojiamini.
Wachina /wajapani/korea na watabe wengine wa sanaa za mapigano wana ka msemo 'It is so lonely at the top'. Ntarudia the best way to express power is through love
Tangu mwanzo ninakuambia kuwa picha ya Mungu inabadilika kadri tunavyozidi kumuamini na kumjua.Kumbukumbu la torati 9:8
"Tena mlimkasirisha BWANA katika Horebu, BWANA akakasirika hadi akataka kuwaangamiza"
kutoka 15:7
"Kwa wingi wa ukuu wako wawaangamiza wapinzani wako; wawapulizia ghadhabu yako nayo yawateketeza kama makapi"
Kwa hiyo hapa mfano wako uanzungumzia katika akili ya kitoto kuwa ulikuwa na mawazo hayo?Elewa mambo ya relativity utatatua mambo mengi, nilisema alikuwa na uwezo wote na ujuzi wote na uwezo wote kulingana na nafasi yangu ya utoto niliyokuwa nayo.
Maswali yote niliyomuuliza alijibu au angeweza kujibu[mengine hakujibu aliona ni bora niyatafute majibu kadri navyokua]. Alikuwa na uwezo wote wa kuninunulia pipi na vigari vya watoto na hakufanya hivyo etc etc
Hapana, nafikiri utashi huru unatawala zaidi. Sijui kuhusu kama kuna viumbe hawakupewa utashi nikifika ntajua zaidi🤔Peponi kuna uroboti?
Picha ya Munhu haibadilika unaye badilika ni wewe kwa kujipinga mwenyeweTangu mwanzo ninakuambia kuwa picha ya Mungu inabadilika kadri tunavyozidi kumuamini na kumjua.
Mtoto mdogo ana haki ya kusema baba yake ni mkali ana hasira naye.
Ila akikua, au kaka yake anaweza kumuelewesha kwamba baba actually anakupenda, na ule ni upendo sio mahasira.
Mwana wa Mungu [YESU[ alikuja kutuonesha njia bora zaidi ya kumuelewa Mungu, msikilizzage yeye
Sijajua kama umenijibu au hujanijibuHapana, nafikiri utashi huru unatawala zaidi. Sijui kuhusu kama kuna viumbe hawakupewa utashi nikifika ntajua zaidi🤔
Kiujumlajumla, ndiyo. Nimekuwa na mawazo ya namna hiyoKwa hiyo hapa mfano wako uanzungumzia katika akili ya kitoto kuwa ulikuwa na mawazo hayo?
Peponi bado sijafika lakini nini kinashindikana.Sijajua kama umenijibu au hujanijibu
Peponi kuna uroboti au haupo?
Mawazo ambayo hayana uhalisia sioni sababu ya kuyazingatiaKiujumlajumla, ndiyo. Nimekuwa na mawazo ya namna hiyo
Chance ya kufanya uovu kupitia free will peponi ipo?Peponi bado sijafika lakini nini kinashindikana.
Kama duniani tunao wanetu [freewill] na pia tunazo mashine za atm [roboti]
Basi hata mbinguni kuna vyenye utashi na visivyokuwa nao labda.
Lakini kama unauliza kuhusu sisi wanadamu tutakaoishi huko basi jibu ni hakuna uroboti
Sio mimi bro, historia inaonesha hivyo;Picha ya Munhu haibadilika unaye badilika ni wewe kwa kujipinga mwenyewe
Kwa hiyo nishike lipi
Nikuamini maneno yako na kuipuuza biblia?
Ndiyo, kinadharia chance ipo kiuhalisia haipo wala. Rejea mfano wangu wa mwanajeshi wa kawaida vs yule mwanajeshi mkubwa na mzalendo damu, ambaye hata identity yake amejipiga chapa ya nchi yake ndani kwa ndaniChance ya kufanya uovu kupitia free will peponi ipo?