God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Watu kuwa na free will maana yake Mungu hajui yote.

Mungu kujua yote maana yake watu hawana free will.

The two are mutually exclusive.

You can't have them both.

Actually, hakuna free will wala Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hizi ni stories watu wamejitengenezea tu.
 
Ujue watu wanachanganya hili jambo na kulichukulia kimazoea tu

Kabla hujazaliwa eti Mungu ashajua tayari kuwa utaua na kujua kwake ni 100% lazima kutimie kama alivyoona

Mtu anayetekeleza mauaji anaweza kuona kama anafanya hayo katika uhuru wake lakini ukweli ni kwamba alikuwa hana uchaguzi zaidi ya hapo kwasababu choice ishakuwa fixed
 
Yani unatakiwa uishi tofauti na alivyoona Mungu mjuzi wa yote ambaye hakosei.

Ukiweza, maana yake huyo Mungu hajui yote, alikosea.

Ukishindwa, maana yake umeishi ulivyopangiwa tu, hakua free will na hivyo hata hukumu haikufai. Mungu anakosea kuhukumu watu.

Lakini tushasema Mungu hakosei.

Contradiction.

Hapo utaona huyo Mungu hayupo, katungwa na watu kwenye hadithi tu.
 
Nikiwa huko naweza kuua mtu na malaika pia endapo nitajisikia?
Kuhusu huo sidhani. Ila unaweza labda kumkataa Mungu [ukafa wewe binafsi] na hivyo kuondoshwa uweponi kwake ila kuua sidhani maana kule ukiwa kwa Mungu kuna uzima hakuna kifo.

Niliposema automatically unakufa chukulia mfano mkono ni sehemu ya mwili na unautumikia mwili mzima. Ikitokea mkono ukaamua hautaki kutii ukakaidi [ukajitenga na mungu wake] na kujitenga na mwili basi automatically unakufa na unaoza.

Sema nn naona unawaza kishetani bado hata kama tupo tunazungumzia mazingira ya kimungu. You are unwilling to take the hypothetical seriously. Maana tangu nimeanza kukuambia asili ya walio mbinguni na akili zao haziwazi maovu wewe umeng'ang'ana tu kumchukua mwovu na kumuweka mazingira ya mbinguni. JAMANI MBINGUNI NI MAHALA PEMA NA PAMEZUNGUKWA NA WEMA. Jaribu kuupa ubongo wako zoezi la kuimagime mazingira ya wema unatawala ndio uanze kuuliza tena maswali
 
Kwa hiyo unafuta kauli yako ya kwanza kuwa Mungu anabadilika?
Kabla sijafuta labda unaweza kuniambia nimeiandika katika post namba ngapi ili nikaifutepo na post nikaideletepo, niingie hadi kwenye server nifute ikiwezekana. Nielekeze.
 
Watu kuwa na free will maana yake Mungu hajui yote.

Mungu kujua yote maana yake watu hawana free will.

The two are mutually exclusive.

You can't have them both.

Actually, hakuna free will wala Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hizi ni stories watu wamejitengenezea tu.
Basi chagua kimoja, kama umeona ni mutually exclusive

Au utahamia kwenye false dichotomy!?

Sijui kama na wenzangu wanakuelewa ila ukweli ni kwamba wewe huamini chochote sio Mungu pekee.

Hata kama kinamna fulani tukachukua boksi fulani physical lenye uwezo wa kubeba ushahidi, tukaingia huko rohoni tukaubeba huo ushahidi wa Mungu tukakuletea unajua utatufanyiaje?

Kwanza utamkataa Mungu, utaukataa huo ushahidi, utalikataa boksi, utaukataa ukweli na halafu utahitimisha kwa kukataa hata ule uwezekano wa kuwepo kwa phenomena yenyewe ya uthibitishaji wa chochote kile!!

Hapo ulipo ulishakataa kama ukweli upo, ulishakataa kama maana ipo, ulishakataaga kama uhakika upo, ulishakataaga hata kama wewe upo!! sasa ndugu huyo aliyekushawishi kukataa kila kitu kwa nini usitumie mbinu zake hizohizo kumkataa yeye.

Mtu akikuhubiria kuwa every 'philosophy' is meaningless story and doesn't really exist wewe ukamuamini anza kufanyia kazi hiyohiyo philosophy anayoileta uone kama inasimama. Uifute hiyohiyo
 
Wapi nimekataa kwamba mimi nipo?

Hiyo roho uliyoitaja unaweza kuthibitisha ipo?

Mbona unanipangia fikra nitakazofikiri kabla hata hujaniuliza?

Hujathibitisha Mungu yupo, mara usharukia uongo mwingine wa habari za roho?

Hujathibitisha uongo wa kwanza si uongo, usharukia uongo wa pili?
 
Yani unatakiwa uishi tofauti na alivyoona Mungu mjuzi wa yote ambaye hakosei.

Ukiweza, maana yake huyo Mungu hajui yote, alikosea.

Ukishindwa, maana yake umeishi ulivyopangiwa tu, hakua free will na hivyo hata hukumu haikufai. Mungu anakosea kuhukumu watu.

Lakini tushasema Mungu hakosei.

Contradiction.

Hapo utaona huyo Mungu hayupo, katungwa na watu kwenye hadithi tu.
Na ndio maana tunasema free will ni illusion

Kwanza hukuchagua kati ya kuzaliwa au kutozaliwa

Mama mjamzito anatoa mimba na kufanya kichanga kife, nafasi ya hicho kichanga kuamua kati ya kufa au kisife iko wapi?

Pana free will hapo au uhuni tu?
 
Kuhusu huo sidhani. Ila unaweza labda kumkataa Mungu [ukafa wewe binafsi] na hivyo kuondoshwa uweponi kwake ila kuua sidhani maana kule ukiwa kwa Mungu kuna uzima hakuna kifo.

Niliposema automatically unakufa chukulia mfano mkono ni sehemu ya mwili na unautumikia mwili mzima. Ikitokea mkono ukaamua hautaki kutii ukakaidi [ukajitenga na mungu wake] na kujitenga na mwili basi automatically unakufa na unaoza.

Sema nn naona unawaza kishetani bado hata kama tupo tunazungumzia mazingira ya kimungu. You are unwilling to take the hypothetical seriously. Maana tangu nimeanza kukuambia asili ya walio mbinguni na akili zao haziwazi maovu wewe umeng'ang'ana tu kumchukua mwovu na kumuweka mazingira ya mbinguni. JAMANI MBINGUNI NI MAHALA PEMA NA PAMEZUNGUKWA NA WEMA. Jaribu kuupa ubongo wako zoezi la kuimagime mazingira ya wema unatawala ndio uanze kuuliza tena maswali
Kwanini unasema hudhani wakati kuna freewill?

Free will ikiwepo hilo jambo lazima liwezekane, sasa unasemaje sidhani?

Ina maana freewill ya huko ina mipaka tofauti na hii ya huku ulimwenguni?

Si tunekubakiana mipaka ndio inafanya uwe roboti
 
Na ndio maana tunasema free will ni illusion

Kwanza hukuchagua kati ya kuzaliwa au kutozaliwa

Mama mjamzito anatoa mimba na kufanya kichanga kife, nafasi ya hicho kichanga kuamua kati ya kufa au kisife iko wapi?

Pana free will hapo au uhuni tu?
Tunasemaje kuna free will wakati hata mawazo tunayowaza hatuwezi kuya control?
 
Kabla sijafuta labda unaweza kuniambia nimeiandika katika post namba ngapi ili nikaifutepo na post nikaideletepo, niingie hadi kwenye server nifute ikiwezekana. Nielekeze.
Hakuna sehemu umeandika picha ya Mungu inabadilika?
 
Wapi nimekataa kwamba mimi nipo?

Hiyo roho uliyoitaja unaweza kuthibitisha ipo?

Mbona unanipangia fikra nitakazofikiri kabla hata hujaniuliza?

Hujathibitisha Mungu yupo, mara usharukia uongo mwingine wa habari za roho?

Hujathibitisha uongo wa kwanza si uongo, usharukia uongo wa pili?
Kwa kuwa asili ya wenyewe tulivyolivyo kadri ya unavyojitambua inaendana mojakwa moja na kumtambua Mungu ndio maana sisi tunapata ugumu kukuthibitishia kutokea nje yako. Uhusiano kati ya mtu na Mola wake ni jambo binafsi.

Kama wewe ulishajitambua na kujifahamu na kujithibitisha kwamba upo basi tumia njia hiyohiyo kumthibitisha Mungu yupo wewe binafsi.

Naa kama wewe haujaupata bado uthibitisho wa wewe upo na upoje bali umeamini kuwa upo na bado unatafuta kujijua zaidi na kutafuta uthibitisho - basi fanya vivyo hivyo kwa Mola wako amini tu kwanza halafu endelea kutafuta kumjua zaidi.

Na kama hauamini kwamba upo. Hapo sitakuruhusu kuendelea na imani hiyo potofu. Kitendo cha wewe kujitokeza na kuweka mchango wa mawazo yako ni uthibitisho tosha kwamba kuna 'entity' fulani ambayo ni wewe. Hilo tuliache kama fact [kwamba UPO] tubaki tu na swali la wewe upojeupoje, this we are still investigating.
 
Hakuna sehemu umeandika picha ya Mungu inabadilika?
Hilo nimeliandika mara nyingi, nakubali na ninasisitiza ni kweli taswira inayofanyika akilini mwetu [picha] ya Mungu inabadilika na itaendelea kubadilika milele.

Mimi, hata wewe na yeyote ndio tunaobadilika kila siku kadri tunavyojua mambo mapya. Sisi ni kweli tunabadilika kuendelea kuwa bora, kuwa watakatifu zaidi maana sisi sio wakamilifu tusipokufa tutaendelea kukamilika milele na milele.
 
Kwanini unasema hudhani wakati kuna freewill?

Free will ikiwepo hilo jambo lazima liwezekane, sasa unasemaje sidhani?

Ina maana freewill ya huko ina mipaka tofauti na hii ya huku ulimwenguni?

Si tunekubakiana mipaka ndio inafanya uwe roboti
Tilia mkazo maneno yaliyokuwa 'capitalized': JAMANI MBINGUNI NI MAHALA PEMA NA PAMEZUNGUKWA NA 'U'- WEMA.
Je unaweza kutumia uwezo wako wa kujenga taswira halafu ukaona jinsi maswali yako yanavyokuwa yanapotea.?

Binafsi nilipojilazimisha kufikiri namna uovu unaweza kutokea Mbinguni nikapata jibu kwamba ili mtu afanye uovu huko ataanza kwanza kwa kukataa kuwa mtii kwa Mungu ndipo afanye uovu. Sasa ukikataa kuwa mtii automatically unakoma 'cease' kuwa mbinguni na [kuondoka uweponi mwa Mungu]. Kwa hiyo itakapofika steji unafanya uovu ni tayari kama umenusurika kufa basi tayari upo eneo jingine linalosapoti maovu.

Mbinguni sio sehemu unaenda physically ili kwamba kuondoka huko kuhitaji muda mwingi wafanye booking wakukatie tiketi upande ndege ndo uondoke. Mbinguni ni hali zaidi kuliko mahali.

Nitaomba nitumie mbinu ya kushambulia ego yako kiasi bro: Unafahamu kuwa watu wenye IQ ndogo ndio huwa wabishi sana hawawezi kuchukulia vitu vya kufikirika abstract kiumakini 'reluctant to take the hypothetical' seriously? on average iq of mentally retarded!
Hata hivyo nisikutishe sana maana kundi jingine lenye kupitiliza na kuchukulika vitu vya kufikirika kuwa ni halisi na vinashikika wao huitwa 'vichaa' 😂😂. Psychotic.

Wee not so fast! kuna kundi jingine tena hapohapo wenye kuijua asili ya uhalisi wa vya kufikirika na uhalisi wa vitu vingine bila kujichanganya hao wapo gifted/jiniazi. Nakuombea mwishoni usettle hapa. Na ni wengi tu wapo hapa hata hivi sasa.
 
Kwa kuwa asili ya wenyewe tulivyolivyo kadri ya unavyojitambua inaendana mojakwa moja na kumtambua Mungu ndio maana sisi tunapata ugumu kukuthibitishia kutokea nje yako. Uhusiano kati ya mtu na Mola wake ni jambo binafsi.

Kama wewe ulishajitambua na kujifahamu na kujithibitisha kwamba upo basi tumia njia hiyohiyo kumthibitisha Mungu yupo wewe binafsi.

Naa kama wewe haujaupata bado uthibitisho wa wewe upo na upoje bali umeamini kuwa upo na bado unatafuta kujijua zaidi na kutafuta uthibitisho - basi fanya vivyo hivyo kwa Mola wako amini tu kwanza halafu endelea kutafuta kumjua zaidi.

Na kama hauamini kwamba upo. Hapo sitakuruhusu kuendelea na imani hiyo potofu. Kitendo cha wewe kujitokeza na kuweka mchango wa mawazo yako ni uthibitisho tosha kwamba kuna 'entity' fulani ambayo ni wewe. Hilo tuliache kama fact [kwamba UPO] tubaki tu na swali la wewe upojeupoje, this we are still investigating.
Paragraph ya kwanza ni logical non sequitur.

Paragraph ya pili ni logical non sequitur.

Paragraph ya tatu ni logical non sequitur.

Paragraph ya nne ni clusterfuck.
 
Paragraph ya kwanza ni logical non sequitur.

Paragraph ya pili ni logical non sequitur.

Paragraph ya tatu ni logical non sequitur.

Paragraph ya nne ni clausterfuck.
Kuhusu clauster...... nitatafuta inamaanisha nn

Kuhusu logical non seq...... hii unaipendea bure tu kuitumainia maana hata kama tupo nje ya logic ya moja kwa moja, logic sio tool pekee inayotusaidia katika kuielewa reality.

In using that logic, I was appealing to analogy too. I find analogy a better tool when dealing with relationship between abstract and the concrete.

I also believe that analogy do not operate against logic. It is always sensible even if it is not always literal too!
 
Wewe unaikandia logic kuwa si tool pekee ya kuelewa reality, hapo hapo unatumia analogy, unajua analogy nayo ni sehemu ya logic?

Unaelewa kwamba analogy ya kitu kilichopo na kitu kisichopo ambacho hakithibitishiki kuwepo kwa muktadha ulioutoa ni ujinga?

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tupu zilizotungwa na watu tu?
 
Unaelewa kwamba analogy ya kitu kilichopo na kitu kisichopo ambacho hakithibitishiki kuwepo ni ujinga?
Ushawahi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola kwa kutumia njia gani au kwa kutumia nini ? Jibu ni rahisi sana, hujawahi kufanya hivyo, bali huwa unatumia mtindo dhaifu wa logic pasi na kukidiriki kitu chenyewe.

Haujawahi kuwa uthibitisho unao tumia wewe kwamba kisa Mola hajafanya hivi basi hayupo, muda huo huo sababu ya wewe kufikia hitimisho hilo ni ujinga wako wewe. Huu ni upumbavu ulio kuwepo katika logic.

Msingi wa logic ni kutumia akili pekee na si uhalisia, ndiyo maana elimu ya logic imeendelea kutumiwa na watu ambao ni wavivu wa kufikiri hadi leo hii.

Logic kama fani pweke ina madhaifu mengi sana, ndiyo kila unapo jaribu kuitumia unashindwa kujenga hoja.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tupu zilizotungwa na watu
Ajabu yako ni wewe kudai kwamba hizi ni habari za kutungwa na Mola hayupo, ila ukiombwa kuthibitisha tu kwamba "Hadithi" ni nini huwa unakimbia, uneshindwa kuelezea maana ya tamko hadithi, basi elezea nani mtunzi wa hizi hadithi na ilikuwaje akatunga na mara ya kwanza ilikuwa lini nalo unashindwa.

Mara, utasema Mola hayupo kwa sababu hayupo ? Hivi hata watoto wadogo hawawezi kujibu kwa mtindo huu.
 
Unaiponda logic kuwa ni kitu dhaifu.

Unaelewa kwamba hata hii lugha unayotumia kuiponda logic kuwa ni kitu dhaifu nayo inatumia logic?

Unaweza kuandika post hapa JF bila kutumia logic?

Unaelewa kwamba ukishatumia maandishi katika lugha umetumia logic?

Hebu nioneshe udhaifu wa logic kwa kuandika post kujibu hoja zangu bila kutumia logic.

Umeshawahi kuthibitisha Mungu yupo? Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo.
 
Unaiponda logic kuwa ni kitu dhaifu.

Unaelewa kwamba hata hii lugha unayotumia kuiponda logic kuwa ni kitu dhaifu nayo inatumia logic?
Unakubali kama logic ni fani kama fani, na muanzilishi wa fani hii ni Aristoto ?

Kati ya logic na lugha kipi kimetangulia ? Usikimbie swali.
Unaweza kuandika post hapa JF bila kutumia logic?
Bila shaka kabisa.
Unaelewa kwamba ukishatumia maandishi katika lugha umetumia logic?
Hii siyo kweli.
Hebu nioneshe udhaifu wa logic kwa kuandika post kujibu hoja zangu bila kutumia logic.
Kila siku nakujibu swali hili, msingi wa logic ni kutumia akili. Unakubali kama akili ina ukomo ? Kama ina ukomi vipi logic iweze kukidhi mahitaji...?
 
Back
Top Bottom