Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Una haki ya kufanya hivyo.Mawazo ambayo hayana uhalisia sioni sababu ya kuyazingatia
Umesema Mungu anabadilika badilika na historia ndio inavyosemaSio mimi bro, historia inaonesha hivyo;
Mungu ni mkubwa na sisi kwa akili zetu tunamuelewa kulingana na uwezo wetu kwa wakati huo. Akili inavyopanuka unamjua Mungu zaidi naamini hivyo. Na ndivyo ilivyo anyways.
Kwa hiyo huku duniani kuna uovu wa kinadharia?Ndiyo, kinadharia chance ipo kiuhalisia haipo wala. Rejea mfano wangu wa mwanajeshi wa kawaida vs yule mwanajeshi mkubwa na mzalendo damu, ambaye hata identity yake amejipiga chapa ya nchi yake ndani kwa ndani
Hakuna njia ni kwasababu unachokielezea hakipo kihakisia na ndio maana imekuwa ngumu ku avoid contradictionsUna haki ya kufanya hivyo.
Lakini laiti kama ungeweza ukiwa hivyohivyo mtu mzima na kujiwezesha kufikiri kama huyo mtoto ungetoboa. In fact hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo ya kuchukua baadhi ya sifa za mtoto katika kuuelewa uhalisia.
I agree the Lord do not change It is our understanding of Him that changes. Not Him.Umesema Mungu anabadilika badilika na historia ndio inavyosema
So kumbe tuipuuze biblia kwakua imeandika uongo?
Melach 3:6
“For I the Lord do not change; therefore you, O children of Jacob, are not consumed
Hebrew 13:8
"Jesus Christ is the same yesterday and today and forever"
Uliposema kadri unavyozidi kumuamini ndivyo picha yake inavyozidi kubadilikaI agree the Lord do not change It is our understanding of Him that changes. Not Him.
Kwani wapi nilisema Mungu anabadilika?
Basi bro sio lazima nibishe tu.Kwa hiyo huku duniani kuna uovu wa kinadharia?
Mbinguni tutaenda kufanya nini?Basi bro sio lazima nibishe tu.
Mbinguni chance ya kufanya uovu ipo kinadharia na kiuhalisia. Uridhike. Ukiwa mbinguni unaweza kuamua kuwa mwovu na kukataa kuwa mtii ukiamua. But why on eart.... no why on heaven would you do that!? Binafsi nashindwa kuimagine.
Nisije nikawa nakufukuza mbinguni bila kutarajia maana hupendi kufungwa na kukosa uhuru wako wa kufanya 'mema au mabaya'.
Siachi kusisitiza kuwa hadi ukafika mbinguni, jua akili yako na utashi wako umeshajiamulia kuwa wewe ni sehemu ya ufalme wa Mungu na ndivyo ulivyo sasa sijui ni nini kikubadilishe kwa kweli sijui!!
Fuata ukweli bro. I only appeal to sense.Uliposema kadri unavyozidi kumuamini ndivyo picha yake inavyozidi kubadilika
Kwa hiyo nikufate wewe au biblia?
Swali zuri, ngoja nilale halafu labda nitaamka na majibu mazuri zaidi.Mbinguni tutaenda kufanya nini?
Hahaha mhmh mkuu, maarifa ni muhumi na hatufanani kwenye ubebaji wa taarifa ya maarifa ni hiyo hutokana na uzoefu wa mtu binafsi kupenda kujifunza, unaambiwa hata kama jambo unalijua basi jifanye ndiyo unajifunza kuna vitu vipya pia hutavipata kama ukiona unajua kila kitu, shehe usijinyime kujifunza, elimu haina mipaka wala muda kila siku tunajifunza,Kuna kitu kimoja cha ajabu kwa watu wazima, ukiona unaelimika na kufurahia elimu mpya, ujue hata sio mpya kweli. Ni kitu ulikuwa unachontangu mwanzo sema tu kuna jamaa kaamua kukiweka katika maneno.
So unaresonate nacho. Kwa mantiki hiyo naamini unajua na tunakaribisha maoni yako pia[emoji111]
Kwa maana hiyo mbinguni kuna uroboti kwakua umefungwa usiweze kuamua zaid ya kinadharia tu?Basi bro sio lazima nibishe tu.
Mbinguni chance ya kufanya uovu ipo kinadharia na kiuhalisia. Uridhike. Ukiwa mbinguni unaweza kuamua kuwa mwovu na kukataa kuwa mtii ukiamua. But why on eart.... no why on heaven would you do that!? Binafsi nashindwa kuimagine.
Nisije nikawa nakufukuza mbinguni bila kutarajia maana hupendi kufungwa na kukosa uhuru wako wa kufanya 'mema au mabaya'.
Siachi kusisitiza kuwa hadi ukafika mbinguni, jua akili yako na utashi wako umeshajiamulia kuwa wewe ni sehemu ya ufalme wa Mungu na ndivyo ulivyo sasa sijui ni nini kikubadilishe kwa kweli sijui!!
Hapa unakuwa umeandika nini?Fuata ukweli bro. I only appeal to sense.
Angalia mfano Yesu alivyokuja kuweka sawa mambo ya sheria na mambo ya sabato. Hakusema nifuateni mimi, au yafuateni maandiko. Bali yeye aliweka logic mezani na akawaacha watu wafuate chenye mantiki zaidi. Nimechagua kumuiga kwa kufuata mantiki au sense.
Tena uzuri sasa hivi wote tuna Roho mtakatifu, na Msaidizi aliyeahidiwa pia anatushuhudia kwa hiyo tuna sababu zaidi za kutumia utashi wetu.
OkSwali zuri, ngoja nilale halafu labda nitaamka na majibu mazuri zaidi.
Mdau mwenye majibu chap anaweza kutusaidia pia maana mimi hata kama nitakuja na majibu yatakuwa katika mfumo wa nadharia mbalimbali.
Ebhana kuna jibu limepatikana hapa. Jibu zuri sana see nimelipenda:
Hapana kaka hakuna uroboti, ukiwa huko unaweza kuamua kufanya uovu, unaweza kuamua kukaidi na kutokuwa mtii kwa Mungu ukiamua. Ukiweza sijui kinamna gani.Kwa maana hiyo mbinguni kuna uroboti kwakua umefungwa usiweze kuamua zaid ya kinadharia tu?
Elimu inakua na utambuzi ni zaidi ya kujua tu kirahisi; Not simply knowing a fact but comprehending/asimilating it as we grow our understanding. Mungu habadiliki na biblia au msahafu wowote usomwe huku ukiwa na akili na upako pia ili kuelewa. Mimi si muumini wa kufata aya kwa aya au neno kwa neno maana nafahamu uelewa haufanyi kazi hivyo. Naamini maneno katika vitabu vitakatifu [na elimu yoyote ya ukweli] hayapotoshi yaninafundisha. Hatupaswi kukubaliana na kila kaandishi kama kalivyoandikwa tunapaswa kukaelewa mda mwingine hadi kujaribu kuvaa uhusika wa mwandishi na kujiuliza alikuwa anataka kufikisha ujumbe gani. Kuvaa uhusika wa waandikiwa kuona walichopaswa kuelezwa etc etcHapa unakuwa umeandika nini?
Umeandika kutetea kuwa Mungu habadiriki au umezidi kusisitiza kuwa anabadilika ili nijue biblia imepotosha?
Nikiwa huko naweza kuua mtu na malaika pia endapo nitajisikia?Hapana kaka hakuna uroboti, ukiwa huko unaweza kuamua kufanya uovu, unaweza kuamua kukaidi na kutokuwa mtii kwa Mungu ukiamua. Ukiweza sijui kinamna gani.
Kila nikiandika hiyo statement sitaacha kuweka msisitizo kuwa pamoja na kuwa unaweza kuamua kwenda kinyume hautakaa uamue hivyo wewe mwenyewe kwa kuwa wewe ni mwema na mtii [yaani muislamu] kwa Mungu. Na tayari unaishi katika utukufu wa Mungu ndani yake, na Mungu anaishi ndani yako sasa hayo mawazo ya kukaidi unayatoa wapi? Ego na pride/kiburi vinaweza kuwa vishawishi kutokea ndani yako lakini nisikatae sana. Ila tambua kuwa mpaka unafika mbinguni hivyo vitu umevimaster ujue. Sijui tu utaanzaje kukaidi ila mfano ukaamua kukaidi utaweza na utakufa nadhani automatically kama wengine waliokufa kabla.
Kwa hiyo unafuta kauli yako ya kwanza kuwa Mungu anabadilika?Elimu inakua na utambuzi ni zaidi ya kujua tu kirahisi; Not simply knowing a fact but comprehending/asimilating it as we grow our understanding. Mungu habadiliki na biblia au msahafu wowote usomwe huku ukiwa na akili na upako pia ili kuelewa. Mimi muumini wa kufata aya kwa aya au neno kwa neno maana nafahamu uelewa haufanyi kazi hivyo. Naamini maneno katika vitabu vitakatifu [na elimu yoyote ya ukweli] hayapotoshi yaninafundisha. Hatupaswi kukubaliana na kila kaandishi kama kalivyoandikwa tunapaswa kukaelewa mda mwingine hadi kujaribu kuvaa uhusika wa mwandishi na kujiuliza alikuwa anataka kufikisha ujumbe gani. Kuvaa uhusika wa waandikiwa kuona walichopaswa kuelezwa etc etc
Picha ya baba kwa mtoto inaweza kuwa baba ni mkali, mtoto huyohuyo akikua atajua kuwa baba ana upendo.
Picha ya pili ya upendo ni ukweli kabisa kama ambavyo picha ya kwanza ya ukali ilivyo ni ya kweli. Hakuna kinachomuua mwenzake wala hakuna wakati wowote huyu mtoto alikuwa muongo katika 'imani' yake.
Ila chekishia kitu kikubwa hapa ni kwamba; mtoto alipofikia hatua akamuelewa baba yake kuwa ni mwenye upendo aliielewa kwa uzuri zaidi hata ile picha/concept yake ya baba yake ni mkali mwenye kuadhibu aliyokuwa nayo mwanzo. Vyote ni ujuzi unaojenga ukweli mmoja mkuu kwamba hata kama alichukuliwa kama mkali alikuwa ni upendo all the way tangu mwanzo sema tu tulikuwa bado hatujakua kiakili na kung'amua vizuri tu.
Mkusanyiko wa vitabu vya bibliani ni maktaba ya vitabu vinavyopishana kwa maelfu ya miaka. Akili ya kawaida inaniambia lazima nitashuhudia mageuko/evolution ya elimu kuhusu Mungu. Na ndicho tunachokiona agano la kale hadi injili hadi leo tunazidi kumjua Mungu vizuri zaidi na hatutaacha kumjifunza hadi mwisho...... sorry! hakuna mwisho ni MILELE. Tena ni milele na milele na milele.