Hapa hakuna hoja, hakuna uthibitisho, hakuna ushahidi kwamba Mungu yupo.Hili kila siku nalithibitisha na hapa nathibitisha :
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)
Nilijua tu kwamba hujui fani huwa zinnaundwa vipi, yule ambaye ameweka misingi ya fani fulani huyo ndiyo huwa anahesabika kuwa muanzilishi wa fani hiyo.Aristotle systematized logic, but logic was there before Aristotle
Hiyo si kweli sababu logic inatumia sehemu katika fani za lugha hasa Fasihi na Sarufi, kama alivyo anza Aristoto na kujadili Kiima na Kiarifu, ila kwa sehemu ndogo sana. Wa ila lugha zina fani zake nyingi kwazo humfanya mtu kujenga sentensi na kueleweka. Logic imejikita katika kutengeneza hoja na kuepukana na makosa katika kutengeneza hoja, kwahiyo nafasi ya lugha ni dogo kwenye logic, ndiyo maana hata nyinyi mmesoma logic ila lugha inawashinda hasa katika "Etimolojia" ya maneno.Plato and Socrates used logic.
The pre-Socratic philosophers used logic.
Anyone who used language in a systematic way used logic.
Surely, you are not saying Aristotle started language, are you?
Ancient Logic (Stanford Encyclopedia of Philosophy)
Ndio, hawajui, hakuna anayejua ndo maana dini zipo nyingi, hii ni sababu ya kuotea otea. Na historia ya mwanadamu yaonyesha yote, zipo jamii zilisema mungu wao anakaa kwenye pango, nyingine zikasema ana umbo la ngombe, wengine wakasema yupo juu angani.Kwa hiyo maana yake hata watu wa dini nao wanapuyanga tu ingawa wanajifanyaga wao ndo wapo sahihi kweli kweli!?
Mimi nilizungumzia logic, siyo fani ya logic.Nilijua tu kwamba hujui fani huwa zinnaundwa vipi, yule ambaye ameweka misingi ya fani fulani huyo ndiyo huwa anahesabika kuwa muanzilishi wa fani hiyo.
Mfano katika fani ya ushahiri wa kiarabu mashairi yalikuwepo tangu zama za jahiliya ya Kiarabu, walikuwepo kina Imru al-Qaysi, wakina 'Antara bin Shaddad hawa walikuwa watunzi na mabingwa wakubwa sana wa Ushairi na kuyatunga, kadhali alikuwepo Ka'ab bin Zuhayr Ibn Abi Sulma, ila hawa hawakuitwa waasisi wa fani ya Ushairi, ila alilipo kuja Khalil Ibn Ahmad al-Farahiid yeye akaweka kanuni na misingi ya utunzi wa ushairi wa Kiarabu, ikawa elimu pweke yenye kujitegemea na kuitwa Elimu ya Arudhi na Kawafi, huyu sasa ndiyo muasisi wa elimu hiyo. Ndiyo ilivyo kwa Aristoto na logic, yeye ndiyo muasisi wa elimu hii kama fani rejea zile "Ten Categories (Ashara Maqalat)". Kwahiyo Aristoto anabaki kuwa ndiyo muasisi wa fani ya Logic. Hili hakuna wa kulipinga. Sasa ulipokataa tu nikaona wewe ni mjinga katika mambo ya kifani, na nikajua tu lazima utakuja kujifunga kama ulivyo jifunga, yaani unakiri kabisa yeye ndiyo aliweka mfumo wa logic halafu unakataa kwamba yeye siyo muasisi. Hivi mnasoma nini huko mashuleni na mavyuoni au kwenye maktaba ?
Lakini, ukisema Logic ilikuwepo kabla ya Aristoto unatakiwa uthibitishe hilo. Nasubiri uthibitisho.
Hiyo si kweli sababu logic inatumia sehemu katika fani za lugha hasa Fasihi na Sarufi, kama alivyo anza Aristoto na kujadili Kiima na Kiarifu, ila kwa sehemu ndogo sana. Wa ila lugha zina fani zake nyingi kwazo humfanya mtu kujenga sentensi na kueleweka. Logic imejikita katika kutengeneza hoja na kuepukana na makosa katika kutengeneza hoja, kwahiyo nafasi ya lugha ni dogo kwenye logic, ndiyo maana hata nyinyi mmesoma logic ila lugha inawashinda hasa katika "Etimolojia" ya maneno.
Nimesema ya kuwa Aristoto ndiyo muanzilishi wa fani ya logic. Wewe ukapinga ila ulichokiandika kikawa dhidi yako na ukathibitisha ukweli wangu.
Tofauti yenu na mimi, mimi huwa sisomi fani yoyote bila kusoma kwanza misingi 10 ya kila fani, yaani ili fani fulani uijue vizuri lazima usome misingi hiyo kumi. Najua wengi misingi hiyo hamna. Ndiyo maana mnakusha mambo kisha bila kujua mnayathibitisha.
Kwa vitu ambavyo huwa unaviandika kuna muda huwa naona kabisa najadiliana na mtu fulani asiye jua kitu katika suala la kuhoji na kujenga hoja na kuzing'amua hoja, halafu muda huo huo mnajifaragua na Falsafa na Logic, mimi viwili hivi nilivyosoma kisha nikaviacha sababu niliona vinanifanya niwe mjinga zaidi.Maswali yako ni boring.
Yamejaa logical non sequitur.
Umeuliza.
1. Je sisi tumejiumba wenyewe au
2. Tumetokana pasi na kitu chochote ?
Hapo hakuna swali ambalo linalazimisha uwepo wa Mungu.
Yani nibsawa na mtu anayesema yeye lazima ni mtoto wa Komredi Kipepe . Kwa sababu hajajiumba mwenyewe na haiwezekani awe hakutokana na chochote.
Ondoa tamko labda hapo, hapo ni uhakika hakuna aliye jiumba mwenyewe wala kutokana pasi na chochote. Hilo unayakiwa ukiri,usijipotee muda wa bure.Sawa, labda hajajiumba mwenyewe, labda haiwezekani awe hakutokana na chochote.
Huu mfano wako ni batili, sababu nasaba ya huyo kipepe kwa wanao mjua wanaijua yaani chanzo cha huyo kipepe, kuna mawili mtu anayejiita kwa lakabu ya Komredi Kipepe au ni muhusika katika katuni ya Komredi kipepe.Lakini, amefikia vipi hitimisho kwamba yeye ni mtoto wa Komredi Kipepe? Anaweza hata kuthibitisha kwamba huyo Komredi Kipepe yupo kweli nje ya hadithi tu?
Sasa ndiyo uonyeshe uwezekano wa kutokuwepo kwa hilo. Yaani usikimbie hoja. Shida yenu huwa hamgusi hoja. Wewe tuambie lililo sahihi ni lipi.1. Kama tumejiumba wenyewe, au hatujajiumba wenyewe, hilo halilazimishi Mungu awepo.
Kivipi ?2. Dhana nzima ya "kutoka" ni umasikini wa mawazo tu.
Unachekesha sana, unachotakiwa wewe uonyeshe kutokuwa na ulazima wa kuwepo hicho cha kwanza, hii ndiyo hoja hoja ya msingi. Kisha ujenge hoja kwa uhalisia.Ni hivi, suala zima la kwamba lazima kuna hiki cha kwanza, halafu hiki cha kwanza kinasababisha kingine cha pili (cause and effect) ni ujinga wetu tu. This is not an indispensable fundamental of the universe.
Hiyo Quantum level umeshawahi kuidiriki na nani wa kwanza kuelezea hizi habari ? Isiwe mnapenda tu stori za waja bila kuzinakishi.At the quantum level, the effect can happen before the cause
Mimi sikufichi mzee wangu na unri wangu huu mdogo ila katika haya mambo wewe hujafikia hata balehe yake na mimi hunigusi hata chembe hata kuvaa viatu vyangu huwezi.Sasa, kama hujui mambo hayo, unaweza kuwa hujui ujinga wako halafu ukanikashifu mimi kuwa sina akili.
Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu si character wa kutungwa na watu tu kama Comrade Kipepe wa SANI?Kwa vitu ambavyo huwa unaviandika kuna muda huwa naona kabisa najadiliana na mtu fulani asiye jua kitu katika suala la kuhoji na kujenga hoja na kuzing'amua hoja, halafu muda huo huo mnajifaragua na Falsafa na Logic, mimi viwili hivi nilivyosoma kisha nikaviacha sababu niliona vinanifanya niwe mjinga zaidi.
Nakuonyesha utoto wako ulipo katika kuchambua hoja, yaani huwa mnaacha vitu vya msingi na kutoa mifano nako kuna elimu, na nyinyi mmenyimwa elimu hiyo.
Hakuan mtu atakaye sema amezaliwa na Comrade kipepe wakati nasaba inajulikana, sababu vizazi ni vingi. Mfano wako ni mfu, sababu umeruhusu yasiyo husiana na jambo husika kuingia. Suala la kuumba na kuumbwa ni jambo maalumu halitoki nje ya maswali hayo.
Je sisi timejiumba au sisi tumetokana pasi na chochote ? Ili kuonyesha hapo hakuna swali linalo onyesha kuumbwa na Mungu, ukitakiwa kuonyesha uwezekano uliopo wa sisi aidha kujiumba au kutokana pasi na chochote. Kinyume na hapo hoja yangu hujaigusa hata kuisogelea umebaki una ambaa ambaa tu juu. Na haya ndiyo madhara ya Logc, yaani hamgusagi hoja na kilichomo katika hoja.
Kipepe ni mtu au siyo mtu ? Sasa mjifunze kujenga hoja kwa kuzingatia uhalisia vijana.
Ondoa tamko labda hapo, hapo ni uhakika hakuna aliye jiumba mwenyewe wala kutokana pasi na chochote. Hilo unayakiwa ukiri,usijipotee muda wa bure.
Huu mfano wako ni batili, sababu nasaba ya huyo kipepe kwa wanao mjua wanaijua yaani chanzo cha huyo kipepe, kuna mawili mtu anayejiita kwa lakabu ya Komredi Kipepe au ni muhusika katika katuni ya Komredi kipepe.
Sasa ndiyo uonyeshe uwezekano wa kutokuwepo kwa hilo. Yaani usikimbie hoja. Shida yenu huwa hamgusi hoja. Wewe tuambie lililo sahihi ni lipi.
Kivipi ?
Unachekesha sana, unachotakiwa wewe uonyeshe kutokuwa na ulazima wa kuwepo hicho cha kwanza, hii ndiyo hoja hoja ya msingi. Kisha ujenge hoja kwa uhalisia.
Fundamental ya Universe ikoje ? Yaani hutakiwi kuacha mambo juu juu.
Hiyo Quantum level umeshawahi kuidiriki na nani wa kwanza kuelezea hizi habari ? Isiwe mnapenda tu stori za waja bila kuzinakishi.
Kisha toa mfano ni matokeo gani hutokea bila kisababishi.
Mimi sikufichi mzee wangu na unri wangu huu mdogo ila katika haya mambo wewe hujafikia hata balehe yake na mimi hunigusi hata chembe hata kuvaa viatu vyangu huwezi.
Mimi huwa nasoma elimu kwa lengo la kujua ila nyinyi kwa hoja zenu huwa mnakariri ndiyo maana huwa hamuwezi kutoka nje ya yale waliyo yafikiria kina Aristoto.
Naam, bila shaka kabisa.Kwa hiyo hapo ndo unakuwa umethibitisha?
Huwa naona bora kukaa kimya kuliko kuandika mambo nisiyo yajua. Mimi siyo kama nyinyi, mimi najua Elimu ni amana mzee.Self evident truth unaielewa au unaandika tu imradi umejisikia?
Hiyo uliyoandika wewe hapo ni fallacy of appeal to self evident truth
Kama unaweza kosoa nilichokiandika.Hapa hakuna hoja, hakuna uthibitisho, hakuna ushahidi kwamba Mungu yupo.
Ni mahubiri tu.
Ona sasa ulivyo mzembe, yaani unaongelea tamko la logic halafu unatumia misingi ya logic kujenga hoja. Sasa unakataa nini na kukubali nini ?Mimi nilizungumzia logic, siyo fani ya logic.
Jua kusoma kwa ufahamu.
Kwa kunitaka nithibitishe logic ilikuwepo kabla ya Aristotle, umethibitisha ama hujaisoma link niliyokupa, ama hujui Kiingereza.
Pia, nimekueleza mtu yeyote anayetumia lugha systematically anatumia logic na hivyo ikiwa Aristotle hajaanzisha lugha, basi hajaanzisha logic.
Ama hujui kuelewa hoja, ama umeamua kujumitoa akili.
Yote majanga.
Wewe umeiponda logic, halafu hapo hapo hujui kwamba hata katika kuiponda logic umetumia logic.Ona sasa ulivyo mzembe, yaani unaongelea tamko la logic halafu unatumia misingi ya logic kujenga hoja. Sasa unakataa nini na kukubali nini ?
Halafu muda huo huo unakiri ya kuwa Aristoto ndiyo alikuja kuweka mfumo mzuri katika logic. Sasa logic ni nini ? Ukitumia tamko logic kama msamiati ulichokiandika chote ni batili na kina thibitisha ya kuwa huijui Logic, ndiyo maana mimi nikakutangulia katika hili nikaelezea logic kama fani na ndiyo maana niliyo kuwa naitoa huko mwanzo. Kingine huwezi kuiongelea logic kama msamiati tu bila kuiongelea kama fani, ndiyo maana mnatumia misingi ya logic iliyo weka kujadili hoja fulani, na si maana ya kilugha.
Labda ni kupe kazi tu ndogo ili uone kumbe hata logic huijui, niambie wewe logic ni nini ?
Siyo kweli, si kila mtu anaye tumia lugha kwa ufasaha anatumia logic, sababu katika lugha kuna fani zinazo muongoza mtu atumie lugha kwa ufasaha na si logic, kwenye lugha kuna Sarufi, kuna Fasihi, Kuna misemo kuna balagha na kuna ushairi.
Kijana, ngoja nikusaidie tu huwezi kuiongelea logic nje ya fani. Utakimbia mjadala huu.
Unanihakikishiaje kuwa hufanyi mzaha kwenye mjadala?Naam, bila shaka kabisa.
Unakosolewa unaambiwa hiyo sio self evident truth kwa kukuonesha kuwa hiyo ni logical fallacy ya appeal to sef evident truthHuwa naona bora kukaa kimya kuliko kuandika mambo nisiyo yajua. Mimi siyo kama nyinyi, mimi najua Elimu ni amana mzee.
Ulichotakiwa wewe ni kunikosoa siyo kuikimbia hoja.
Naona unakimbia maswali yangu.Wewe umeiponda logic, halafu hapo hapo hujui kwamba hata katika kuiponda logic umetumia logic.
Una matatizo makubwa katika kufikiri kwako.
Fani ni nini?Naona unakimbia maswali yangu.
Nilikuuliza kitambo na hukujibu na hapa nakuuliza tena kati ya Logic na Lugha ipi ilianza ? Huwezi kuongelea logic nje ya fani hili kwanza ukiweke akilini ukiongelea logic kilugha itakuwa na maana moja tu ambayo ni maana au chenye kuingia akilini basi.
Kwanza nimekosolewa na nani ? Wapi ? Huna uwezo wa kukosoa ninachokiandika hasa katika haya mambo.Unakosolewa unaambiwa hiyo sio self evident truth kwa kukuonesha kuwa hiyo ni logical fallacy ya appeal to sef evident truth
Lakini ulivyokuwa mpofu hujaona hata kuwa umekosolewa
Kwanimi hujibu maswali ninayo kuuliza ?Fani ni nini?
Kati ya logic na fani ya logic kipi kilianza?
Sasa kati ya taaluma na jambo lililo kiini cha taaluma, nini kinaanza?Kwanimi hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Fani ni taaluma fulani kwayo yenye misingi na matawi juu ya jambo fulani.
Logic kilugha au logic kifani ? Unatakiwa uulize swali kama mtu anajua anacho kiandika.Fani ni nini?
Kati ya logic na fani ya logic kipi kilianza?
Wewe naon unaleta utoto. Ngoja nijadiliane na mwenye afadhali kuliko wewe potelea mbali.Unanihakikishiaje kuwa hufanyi mzaha kwenye mjadala?