Kwa hivyo kusema Aristotle alianzisha logic ni makosa?Unauliza swali ambalo nimeshakujibu tayari.
Hakuna mtu aliye vumbua kwamba moja jumlisha moja ni mbili au mbili toa moja ni tatu au machunga mawili machungwa matatu, hili ni jambo la kimaumbile lipo tangu Mola alipoumba mbingu na Ardhi.
Ndiyo maan leo hii hatusemi fulani kavumbua hesabu, kisha tukakomea hapo. Tunasema fulani alivumbua hesabu za Aljebra, mwingine Culculus na mfano wa hayo.
Jbo la kujua kumi, kujua mbili kujua ngai, ni la azalia mitume wote walikuwa wanajua haya mambo.
Basi bwana tuweke tu fact sawa: kulingana na wewe free will ni hadi uwe unafanya maovu ndio ushahidi wake. Kulingana na mimi freewill ni hata unapochagua kati ya mema mawili.Kukiwa mahala pema maana yake hakuwezekani kufanyika uovu ambao upo ndani ya free will
Kwa maana hiyo mbinguni kuna uroboti
Umeamua mwenyewe kuitumia hapa hii ni analogyYani nibsawa na mtu anayesema yeye lazima ni mtoto wa Komredi Kipepe . Kwa sababu hajajiumba mwenyewe na haiwezekani awe hakutokana na chochote.
Sawa, labda hajajiumba mwenyewe, labda haiwezekani awe hakutokana na chochote.
Lakini, amefikia vipi hitimisho kwamba yeye ni mtoto wa Komredi Kipepe? Anaweza hata kuthibitisha kwamba huyo Komredi Kipepe yupo kweli nje ya hadithi tu?
Huu basi uwe ni ushahidi kwamba yote yanawezekana kwa yule anayefahamu na mwenye mamlaka na hizo fundamental particles.Ni hivi, suala zima la kwamba lazima kuna hiki cha kwanza, halafu hiki cha kwanza kinasababisha kingine cha pili (cause and effect) ni ujinga wetu tu. This is not an indispensable fundamental of the universe.
At the quantum level, the effect can happen before the cause, and the cause can happen after the effect.
Nimerudia hadi kubold neno LOGIC YA MOJAKWAMOJA ndiyo ninayoicontrast na ANALOGY. Naweza kuwa situmii maneno rasmi ila je hujaipata tu sense ya hicho ninachokimaanisha.Unaiponda logic na kusisitiza analogy.
Unanionesha hujui kwamba hata analogy ni logic.
Unashusha sana viwango vya mjadala na frankly naona napoteza muda kujadiliana nawe.
Huyo unayemuita Mungu muumba wako unaweza kuthibitisha yupo na si character wa kutungwa tu kama Comrade Kipepe?Umeamua mwenyewe kuitumia hapa hii ni analogy
Lakini katika analogy yako umeleta na fallacy pia katika mantiki yake.
Umeamua kujitengenezea kamtu kamabua halafu ukakashambulia ukakasambaratisha ili kuonyesha hoja yetu ni dhaifu sana ati. Kipepe hana hadhi wala sifa za Muumba
You made a straw man - straw man fallacy
Paragraph1 -Logical non sequiturHuu basi uwe ni ushahidi kwamba yote yanawezekana kwa yule anayefahamu na mwenye mamlaka na hizo fundamental particles.
Unafahamu kuwa ikiwa lolote linaweza kutokea basi huwa hakitokei chochote cha maana bila kushirikisha akili kuongoza vitu vitokee kwa uelekeo fulani tu. Sense.
Hizo fujofujo bila kuongozwa na akili kusingetokeza kitu chochote chenye maana. Ukiwa na uhai unaongoza mambo yafanyike katika namna fulani, ukifa unaacha mambo yajilipukie yanavyojua na mwisho unakuwa hamna kitu. Unapotea. Kani pekee bila akili hazitokezi cha kueleweka.
Kwa kuanzia tu: unadhani ni kwa nn wanasema ukivitazama vinaanza kuonekana vipo 'sensible' vinakuwa aidha sehemu A au sehemu B. Inahitajika akili inayojitambua kuongoza hizi fujo nyingine zisizojitambua
Si kosa.Kwa hivyo kusema Aristotle alianzisha logic ni makosa?
Rejea mfano, analojia yangu ya kivipi unaweza usiweze kuthibitisha kwa mtu mwingine uwepo wa uhalisia fulani hata kama wewe mwenyewe unatambua uhalisia huo upo.Huyo unayemuita Mungu muumba wako unaweza kuthibitisha yupo na si character wa kutungwa tu kama Comrade Kipepe
Unajicontradict vibaya sana. Irredeemably so.Si kosa.
Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.Rejea mfano, analojia yangu ya kivipi unaweza usiweze kuthibitisha kwa mtu mwingine uwepo wa uhalisia fulani hata kama wewe mwenyewe unatambua uhalisia huo upo.
Ndivyo ilivyo kwangu, na kama siko sahihi basi ndivyo ilivyo kwako na utaishi sambamba na ulimwengu/dunia yako ilivyo. Kama ambavyo mimi nitaishi katika dunia yangu. Natambua uwepo wa watu wanaoishi katika dunia ambayo hamna chochote ambacho ni halisi, na huo kwao ndio uhalisia wao.
Tusaidiane labda mi sijui.Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu huyo yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Unanambia jenga hoja kwani hapa mi nafanya nini?Kijana jenga hoja kutaja hii misamiati ni jambo dogo sana, naweza nikakutajia mpaka ya Kiarabu. Sasa wewe jibu hoja na kosoa hoja.
Ulivyomuonesha kuwa ule ni uthibitisho amekubaliana na wewe kuwa ni uthibitisho?Sasa ulitakiwa uonyeshe kama si uthibitisho, mwenzako nimemuonyesha kwamba ule ni uthibitisho na ni uhalisia. Sasa kama jambo limekushinda waache wenye kuliweza waende nalo.
Sasa wewe unasema siyo self evident truth, na unashindwa kuonyesha hilo, mimo nimekuonyesha kama ni selft evident truth, nani analeta utoto kati yangu mimi na wewe ?
Ndio maana nimeuliza utajuaje kubadilika kwa picha ya Mungu akilini mwako ni kutikana na uelewa wako na sio kwamba ni kwasababu dhana ya uwepo wake ni ya kufikirika tu?Sijabadilisha, nimefafanua. Nimeamua kutafsiri neno picha ili uelewe zaidi maana mimi mda wote ninasisitiza kuwa sisi tunajenga picha/taswira fulani akilini mwetu.
Kubadilika kwenyewe sio kubadilika kihalisi nilikupa mfano nikiwa kadogo nikasema baba ni mkali nikawa na miaka ishirini nikasema baba ni mpendaji. Haimaanishi kuwa sasa hivi ameacha kuwachapa wadogo zangu na wajukuu. Bali nimemuelewa vizuri zaidi kiasi kwamba hata nikimuona kashika kiboko kichani kwangu sitawaza MKALI bali nitawaza MWENYE-UPENDO anatupenda.
Kumbuka baba hajaacha kuwachapa watoto wenye ujinga yupo vilevile anatembeza bakora, ila ni mimi ndio nimemujua zaidi nikaelewa kumbe huo ni upendo na sio hasira na ukali. Au hata nikisema ni hasira na ukali vinavyoashiria upendo alionao. Hakuna kilichokufa, hakuna aliyejidanganya au kudanganya..... ila maarifa yamekua na yaliyokuwapo yameeleweka zaidi.
Sio kulingana na mimi.Basi bwana tuweke tu fact sawa: kulingana na wewe free will ni hadi uwe unafanya maovu ndio ushahidi wake. Kulingana na mimi freewill ni hata unapochagua kati ya mema mawili.
Kuhusu uroboti nilishasema haupo, ikiwa kinamna fulani ukataka kufanya uovu basi automatically utakuwa umekosa utii kwa Mungu na hata utapofikia muda unautenda uovu utakuwa tayari haupo mbinguni [Edeni]. Kuwa mbinguni ni hali ya kuwa uweponi mwa Baba na kinyume na hapo ni kifo, au kama watu wanavyopenda kusema jehanamu.
Shetani alipoasi na malaika zake wanasema walitupwa duniani, tena watatupwa kuzimu. Mfano hizo zikawa ni picha za kuonesha umbali kati ya roho na Mungu. Sio umbali ki-mita bali ki-hali. Maana kiroho mambo ya space hayaaplaigi hata.
Mbinguni [hali ya mbinguni] hakuna uroboti, ukiamua kufanya uovu [hali isiyo ya mbinguni] unaweza japo hapo ulipo patakuwa pamecease kuwa mbinguni kulingana na wewe binafsi'with respect to you' bali utakuwa sehemu nyingine. Difinition ya mbinguni inahusisha hali zaidi kuliko mahala.
Siongelei kila kitu, naongelea uwepo wa Mungu.Tusaidiane labda mi sijui.
Kwani wewe katika ulimwengu unaoishi kila kitu unachoamini kipo ni kile tu umethibitishiwa na watu kuwa kipo.
Tena hata ukiacha kuthibitishiwa, je wewe mwenyewe umeshajithibitishia kila kitu unachoamini kipo.
Unatumiaga neno kujua, je una uthibitisho wa kila unachokijua binafsi kuwa kipo?
Tukirudi kwenye analojia mimi nipo na nina ujuzi mkubwa, na upendo wote na uwezo karibu wote kwa viungo vya mwili wangu. Viseli vyangu vikinitazama vinaniona kuwa ninaishi muda wote [vyenyewe vinakufakufaga sana] mimi ni wa mwanzo na wa mwisho kwavyo. Wakati mimi naweza fika popote vyenyewe vimebaki mwilini tu. Vivyo hivyo na sisi[analogical to cells] na Mungu wetu ---ANALOGICALLY ndivyo ilivyo
Kutokana na we kuwa muumini wa logic, na kuikataa non sequitor nijibu maswali ya post no 373 nifunge mdomo for good. Can I ever use analogy without commiting a fallacy. Does analogy make sense to you in any way? Je unaruhusu matumizi ya analojia? Nipe mfano wa analojia moja unayoweza kuikubali. Mfano ulio free from non sequ... utapendeza zaidi.
Bado sijaipata namna ya kutofautisha hilo.Ndio maana nimeuliza utajuaje kubadilika kwa picha ya Mungu akilini mwako ni kutikana na uelewa wako na sio kwamba ni kwasababu dhana ya uwepo wake ni ya kufikirika tu?
Imani ingekuwa njia ya ya kweli ya kujua jambo kwa hakika basi leo tungekuwa na imani moja na dini mojaBado sijaipata namna ya kutofautisha hilo.
Kigezo cha imani katika uwepo wake hakiepukiki, bila imani 'trust' sioni kama tutatoboa.
Shida siyo mimi, shida ni wewe kutokuelewa nilichokiandika.Unajicontradict vibaya sana. Irredeemably so.
Aat this point I do not see the utility of continuing any exchange with you.
You are either iredeemably illogical, or a consummate troll.
I have no interest to entertain either.